Huenda ni mpango wa Mungu mtawala anapoanza kuwagawa watu mapema na kutoa vitisho, huenda ni Mungu kamtumia Gwajima kuyasema Yale ili maji na mafuta yajitenge!!
Sasa gwajima asiingie ubaridi...
Ushahidi wa hili ni katika kupiga kura kwakuwa ni tendo la hiyari na halina kutafutana, hawapigi kura kabisaa na hawana fikra hizo za kupiga kura kwa hiyar yao wenyewe ndio maana
Ikiwa hakuta...
1. Mheshimiwa Rais Mkapa aliweka utaratibu wa kuhutubia/kugombeza Taifa kila mwisho wa mwezi.
2. JK akajaribu hakufanikiwa.
3 (a) Shujaa ndo vile tena!.
(b) Ni utaratibu mzuri kuelezea masuala...
Kumchukulia kiwepesi Askofu Gwajima ni kujipumbaza tu.
Amekuwa viti vya mbele kwenye safari ya matumaini na hapa kazi tu. Ana elimu, watu, connection, uchumi, marafiki wengi n.k
Tusimchukulie...
Bila kupoteza muda ninawasihi wanachama wa CHADEMA wenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo kuachana na huo mpango kwasababu kuna vigogo washajipitisha kugombea. Kimsingi baadhi...
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said, amesema kuwa suala la kutangaza nia ya kugombea litategemea muda sahihi, na kwamba atatoa uamuzi huo pale utakapowadia. "Ukifika wakati sahihi wa kutangaza...
Tuseme kweli na tusinyamaze kwa sababu kama tukinyamaza basi mawe yatasema na ukweli ni kwamba :
1. CCM ipo mbele sana ya muda kwenye maendeleo. CCM inabadilika na dunia inavyobadilika.
2...
Kundi la Waasi toka Chadema aka G55 likiongozwa na John Mrema, Salum Mwalim, Benson Kigaila na mataperi wenzao hatimaye wamemvunja moyo mfadhili wao CCM.
Waliwaaminisha CCM kuwa wao ndio walikuwa...
"Things fall apart" ni moja ya kazi nzuri sana ya fasihi yenye mafunzo kedekede iliyofanywa na Hayati Chinua Achebe. Kwa wahenga wenzangu mtaikumbuka riwaya hii kama mojawapo ya riwaya za kiada...
"Survive not merely for your own sake, but as a duty to the generations that follow. In your endurance lies the promise of their tomorrow."— Alloyce, P.R.
Wakuu,
Wimbi la wanasiasa kutetea watekaji linaendelea!
================================================
Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida amebainisha kuwa sio kila mtu anayetekwa ametekwa na...
Bunge la Tanzania limeziondoa section inayo onyesha CV za wabunge kwatika tovuti yao baada ya Gen Z wa kenya kuanza kutumia CV za wabunge wa Tz kwenye comedy zao.
Leo shirika la Habari la Kimataifa Reutres limeripoti hatua ya Mawakili wa Tundu Lissu kuwasilisha rasmi kwa Umoja wa Mataifa suala la kushikiliwa kwake ili lichukuliwe na kutangazwa kama...
Serikali imeanza utekelezaji wa mradi Mkubwa wa Mageuzi ya Sekta ya Mifugo wenye thamani ya $200bln( 550Trilioni) ambapo itatekelezwa Kwa miaka 10.
Mradi huo mkubwa unalenga kubadili sekta ya...
Nichukue nafasi hii kumtakia kheri na kumpongeza mbunge wangu wa Kawe Askofu Gwajima.
Ukweli misingi ya siasa zaleo Kwa nchi nyingi Afrika zinahitaji rohonyeusi, uongo,uchawa,mihemuko na kutizama...
Wakuu Salaam,
Nchi yetu kwa hakika inapitia njia na kipindi cha mseleleko kuelekea kwenye giza totoro. Kwa kila raia ambaye bado ana nuru ya kung’amua yanayoendelea, shime afanye lililo ndani ya...
Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimamo...
Kuwa rais mstaafu kuna dhima kubwa. Haitoshi tu kuwa mualikwa kwenye shughuli na kukaa high tables za mialiko mbalimbali basi hiyo ikawa sababu ya roho yako kuwa kwatu. La hasha kuna dhima ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.