Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Hii ni Ilani ya CCM ya saba ya uchaguzi mkuu tangu nchi yetu iliporejea katika mfumo wa vyama vingi vya siasa na kufanya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995. Katika Ilani zote hizi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Gwajina kasema kwenye hili swala hatayumba mpaka kila aliyetekwa ajulikane yuko wapi na anafanya nini. Lakini pia kila aliyepotea "missing person" wapatikana na kujulikana walipo, kwa msisitizo...
1 Reactions
5 Replies
583 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeisikiliza kwa kina,kirefu ,Umakini ,utulivu na kwa kila neno lililotoka kinywani Mwa Mheshimiwa Askofu Dkt Josephat Gwajima Hotuba aliyoitoa Kwa Waandishi Wa Habari...
16 Reactions
292 Replies
12K Views
Wakuu hawa madogo bwana wana zingua hawajali kuhusu maswala ya kiutawala katika taifa letu pendwa la TANZANIA wao wana waza nyandu tu. Inanipa ukakasi kijana wa chuo haoni maana ya kufuatilia...
4 Reactions
69 Replies
2K Views
1980s shule nyingi zilikuwa za michepuo ya Sanaa na Biashara na chache sana za Sayansi na Kilimo Labda hii ndio imesababisha utepetevu wa Elimu yetu na kila mtu kuamua kuwa mwanasiasa Wasanii wa...
6 Reactions
55 Replies
1K Views
Gwajima tunanfahamu ni mtu ambaye hajakurupuka kutoa taarifa ya utekaji kwani swala hilo linapigiwa kelele na watanzania wote, kitendo cha raisi kumdhalulisha gwajima mbele ya umma huku akijuwa...
19 Reactions
30 Replies
2K Views
HUYU N MSTAAFU PEKEEE ALIEBAKIA KUONGEA WAPI TUNAELEKEA KWENYE MAMBO YAKUPITEXANA SHIKAMOO BABU POPOTE ULIPO
0 Reactions
8 Replies
602 Views
Tuliokuwepo tangu awamu ya kwanza tunafahamu kwanini kelele za huyooo huyooo, mchinjeee mchinjeee zinasikika kwa wingi. Nchi imepaa ndani ya muda mfupi tu wa awamu hii unexpected. Ukiona nchi...
4 Reactions
69 Replies
3K Views
Jana, kupitia mitandao mbalimbali, tumemsikia mbunge wa Zanzibar akiwaita wananchi ni Kenge. Yaani mtu ambaye upeo wake ni duni, elimu yake ya kubabaisha, mtu mwongo aliyelidanganya bunge kuwa ana...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Dear all.. la pace sia conte. Nimefanya utafiti na kugundua kuwa kipindi hiki Chadema kimepata uungwaji mkono mkubwa saana kutoka kwa wananchi kwa sababu ya political sympathy...
4 Reactions
5 Replies
394 Views
Naomba kuwasilisha na kuchukua nafasi hii kuomba elimu kuhusu tukio hili na kwamba ni nini majukumu yao? Pengine wanaingilia mambo ya kiserikali au vipi? Nb:ni Mjumbe wa Nyumba kumi wa Chama cha...
1 Reactions
4 Replies
553 Views
June itakuwa ya moto sana.. Lakini hebu tuangalie za kufungia mwezi huu.. Zinazobamba sana 1. CHADEMA: No reforms no election 2. Gwajima: Utekaji vs wajibu hoja (wana ccm) 3: Gen-Z vs ...
10 Reactions
43 Replies
2K Views
Nakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii: https://youtu.be/SKQJpYmUTyM?si=WrB0APIKPuuRAP9z Leo hii tukipiga simu tanesco emergency majibu tunayopata yanachafua roho, uzembe ni ule ule...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
GT Sukikiza hii hapa mpaka mwisho..Mkuu.wa Nchi awe anachunga sana kauli.zake kwa umakini Mkubwa.
1 Reactions
2 Replies
518 Views
"Mgombea anayekubalika na zaidi ya asilimia 90 ya wapiga kura waliojiandikisha si tu chaguo la kisiasa, bali ni dhihirisho la mwafaka wa kijamii uliojengwa juu ya matumaini ya pamoja. Uhalali wake...
0 Reactions
5 Replies
427 Views
https://youtu.be/N56WUqh2ODg?si=A_rAwRxypLvDeseF Mungu awe nanyi nyote..!! Ni dhahiri shahiri kwamba yajayo nchi hii, yanafurahisha... • Ni mwendelezo wa ujumbe wa Mungu juu ya utawala wa nchii...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Katika kipindi hiki nyeti cha historia ya taifa letu, ni jambo la busara na uzalendo kwa viongozi wetu wastaafu—kama Jaji Joseph Warioba, Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, na wengine...
18 Reactions
102 Replies
5K Views
Muacheni kua na Viburi na Mizaha !! Huyo anayewatuma atawaponza, TEC sio Familia ya Masikini ya Mnyonge wa WATU TUNDU LISSU !! TEC inapoongea mara mbili mbili juu ya HAKI Kwa KITIMA dhidi ya...
4 Reactions
14 Replies
937 Views
Katika ilani yake mpya, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa ahadi ya kujenga Maktaba ya Taifa mjini Dodoma na kuhuisha maktaba katika ngazi za mikoa na wilaya. Ibara ndogo ya V ya ilani hiyo...
0 Reactions
1 Replies
254 Views
Kuelekea uchaguzi Mkuu wa kihistoria Tanzania mnamo October mwaka huu 2025, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetokea kukiogopa na kukichukia sana Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA)...
1 Reactions
36 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…