Kama hana uchungu nasi na nyie hamna?

Kama hana uchungu nasi na nyie hamna?

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,587
Reaction score
14,356
Kama yeye hana uchungu nasi kwa kuwa yeye sio sisi , yeye ni kule sio huku ,

Hana ndugu huku na amevuka maji kuja huku .

Je na nyie hamna uchungu na sisi?
Mwenzenu wa Buhigwe nafsi ilimsuta muda mrefu akaamua kujiondoa kwa staili Ile maana ana familia inamtegemea hivyo asingeweza ondoka kwa njia nyingine.

Vipi nyie wengine kutulia kimya wakati ndugu zenu wanauwawa?

Kutulia kimya wakati nchi yenu inaharibiwa.
Nchi ambayo ambayo kimsingi mvuka maji anaamini imejaa makafir wasiostaarabika?
 
Wana subiri Mungu aseme, Mungu ana njia nyingi za kuongea na watu wake na kuwa komboa, wao walifikiri sodoma ndio njia sahihi ya kuua upinzanii, lakini Mungu katumia sodoma kama njia ya kuwa uumbuwa
 
Nyumbu mtazusha Kila kitu; mtaeneza Kila aina ya chuki ya kidini lakini kamwe hamtoweza kuzuia mipango ya Mungu. Tena hapo kwenye dini ndo mnafeli kabisaaa!!
 
Kuna haka ka kinyonga ka Mbeya kanahisi kanakubalika ila watu mioyoni yupo Jongwe
 
Back
Top Bottom