PreGE2025 Mfupa uliomshinda Magu, Heche na CHADEMA wanauweza.

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,157
Hello!

Magu na uzalendo na upendo wake kwa wananchi maskini alishindwa kupiga marufuku kamari ambayo kwa jicho la haraka ni Kodi kidogo inaingia serikalini, lakini inaleta hasara kubwa kwa kuwafanya vijana wengi kutofanya kazi wakiamini betting ni mojawapo ya kazi. Pesa nyingi inaenda nje yaliko anzishwa makampuni haya ya kubeti, wananchi wakiachiwa utumwa na umaskini,

Unakuta boda boda anashinda na kukesha akikwepana na maroli barabarani, akipata 20,000, anapekeka 10,000 kubeti na analiwa zote, pata picha, kwa mwaka anapoteza kiasi gani na nchi inapata hasara kiasi gani kwa 80%ya mapato ya betting yanayoingia kwenye nchi za nje kupitia betting 🤔

Sasa watumishi hawa wa Mungu John Heche na CHADEMA wameliona Hilo na kuliweka wazi mapema kabisa bila kuhofia kupoteza kura fake za wacheza kamari na wamiliki wa michezo hiyo ya kubahatisha akina Mwigu.

NB: Truth shall set you free.

Mungu ibariki CHADEMA

Mungu Mbariki John Heche.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania.

Karibu ni🙏
 
Unakuta boda boda anashinda na kukesha akikwrpana na maroli barabarani, akipata 20,000, anapekeka 10,000 kubeti na analiwa ZOTE, para picha, kwa mwaka anapoteza kiasi gani na nchi inapata hasara kiasi gani kwa 80%ya mapato ya betting yanayoingia kwenye nchi za nje KUPITIA betting 🤔

Sasa watunishi hawa wa Mungu John Heche na CHADEMA wameliona Hilo na kuliweka wazi mapema kabisa bila kuhofia kupoteza kura fake za wacheza kamari na wamiliki wa michezo hiyo ya kubahatisha akina Mwigu.

NB: Truth shall set you free.

Mungu ibariki CHADEMA

Mungu Mbariki John Heche.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania.

Karibu ni🙏

Magu hajashidwa ni siasa zake
 
Hello!

Magu na uzalendo na upendo wake kwa wananchi maskini alishindwa kupiga marufuku kamari ambayo kwa jicho la haraka ni Kodi kidogo inaingia serikalini, lakini inaleta hasara kubwa kwa kuwafanya vijana wengi kutofanya kazi wakiamini betting ni mojawapo ya kazi. Pesa nyingi inaenda nje yaliko anzishwa makampuni haya ya kubeti, wananchi wakiachiwa utumwa na umaskini,

Unakuta boda boda anashinda na kukesha akikwepana na maroli barabarani, akipata 20,000, anapekeka 10,000 kubeti na analiwa zote, pata picha, kwa mwaka anapoteza kiasi gani na nchi inapata hasara kiasi gani kwa 80%ya mapato ya betting yanayoingia kwenye nchi za nje kupitia betting 🤔

Sasa watumishi hawa wa Mungu John Heche na CHADEMA wameliona Hilo na kuliweka wazi mapema kabisa bila kuhofia kupoteza kura fake za wacheza kamari na wamiliki wa michezo hiyo ya kubahatisha akina Mwigu.

NB: Truth shall set you free.

Mungu ibariki CHADEMA

Mungu Mbariki John Heche.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania.

Karibu ni🙏
Watu wenye vision, Maono
 
Hawa nyumbu ndo maana lissu anaamua kuwapiga tone tone tu maana hakuna namna.
 
Kweli Chawa hana Gamba wala Gwanda... Yaani ishakuwa pande zote ni mwendo wa propaganda na kuvishana vilemba vya ukoka badala ya kujikita kwenye Hoja..., Case in point badala ya hapa kuongelea athari za addiction tunaongelea nadharia za hawa watu kumaliza hii issue !!???

Wanamaliza vipi ? kwamba ni kama switch ya kuzima na kuwasha ? AU...
  • Kutumia elimu na kuelewesha watu athari, (Hili linaweza kufanywa vema na Wasanii)
  • Kutumia sheria kupinga utangazaji na promotion ya kamari (Serikali na Watunga Sera)
  • Kuhakikisha watu wana ujira wa kutosha na kuacha kufukuzana na illusion ili huu mwaka uwe wao... Na hili ni la kitamaduni zaidi sababu jamii ya sasa inataka quick results
By the way kuongelea mtu mmoja kumaliza betting na addictions ndio yaleyale ya kudhani mtu mmoja anaweza kuleta mabadiliko zaidi ya ushirikishwaji wa watu husika...
 
Kuelimisha watu kuacha kubeti ni kupoteza muda,

Mbona zamani wacheza kamari walikuwa wakimwona askari wanakimbia wenyewe?

Kuhalalisha betting/ kamari ni UOVU mkuu.
 
Back
Top Bottom