Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii Nchi inahitaji katiba Mpya. CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️" Ndugu yangu Nimemuuliza kulikoni? Akajibu ni Maelekezo. Je hii ni haki? Watanzania...
15 Reactions
63 Replies
3K Views
THIS IS ONE INSPIRATIONAL COMMENT AMONG MANY TO COME FOR THE SUSTAINANCE OF OUR FREEDOM.!! Mwalimu Julius Kambarage Nyerere the late father of our nation had tried hard,endured a lot,sucrsified...
1 Reactions
10 Replies
827 Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mbunge wa Jimbo la Babati vijijini Daniel Sillo amewahakikishia Wananchi wa Jimbo Lake kuwa serikali itaendelea kuwasogezea huduma zote muhimu na wapinzani...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanasaikolojia husema binadamu tunaona vitu kwa namna tunavyopenda kuona lakini siyo katika uhalisia wake. Kiukweli kitendo cha mwanabodi Pascal Mayalla kupata kura moja kule Kawe pamoja na...
9 Reactions
60 Replies
6K Views
Hii Kasi ya movement ya no reform no election ni movement hatari sana. Naifananisha na movement ya MAGA, kipindi Trump anashuka kwenye escalator pale Trump tower New York,na kutangaza movement ya...
51 Reactions
112 Replies
6K Views
Niseme wazi kwa Sasa Mtanzania wa Leo hata mwanasiasa amfanyie Nini atanungunika tu na atahoji na kuhitaji zaidi!! Hata uwape ajira mamilioni, uwape mikopo yote, uboreshe elimu, afya na barabara...
11 Reactions
8 Replies
933 Views
Sasa tumeanza kwa vitendo wananchi tunataka reform tutatumia elimu zetu ujuzi wetu kuhakikisha haki kwanza halafu ndio tunaenda kwenye uchaguzi Chezeni na watu wote lakini mchicheze na kizazi Cha...
17 Reactions
28 Replies
2K Views
Akiwa anachambua kauli ya No Reforms No Election, Zungu ambaye ni mchambuzi maarufu wa siasa nchini amesema na mtangazaji wa kipindi cha Morning Bantu cha ST Bongo amesema: "Kama...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 huku kukiwa na kumbukizi ya kufutwa kiharamu Kwa uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2015, watanzania wengi wenye akili timamu walisema kuwa hawatashiriki...
11 Reactions
96 Replies
3K Views
https://youtu.be/-XTSbsRSCZE?si=xmjmw5AFhFe1ayAm
1 Reactions
0 Replies
266 Views
Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea jinsi wanavyoweza kubadili matoke ya Kura yako uliyopiga bila kujali matokeo halisi ya kura. Nape Nnaye amewahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM. Wakati akitoa kauli...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Nashindwa kuelewa Rais samia anamuogopa Mwigulu mchemba,au wako pamoja katika mision zao au ni nyingi sana, maana ukimsikiliza Mpina jinsi anavyolalamika kuhusu huyu waziri wa fedha halafu Rais...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Tunaposema no reforms no ELECTION ni mpaka mabadiliko yafanyike na sio uchaguzi wa mchongo uishe tutaendelea hadi mabadiliko. Kama samia anajikimbiza kwenye uchaguzi wa mchongo ili kujiwaisha...
1 Reactions
1 Replies
372 Views
Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI...
5 Reactions
49 Replies
1K Views
Ni muhimu sana kuepuka kudanganyana na kupotoshana ndugu zangu wadau eti hapata kua na uchaguzi October. kweli ni kwamba hayupo kibaka wala tapeli yeyote wa kisiasa nchini mwenye uthubutu wa...
9 Reactions
166 Replies
4K Views
CCM twende na wakati ,kila nyakati na watu wake na changamoto zake, kijana wa 1960s sio wa kijana wa leo, wengi wameenda shule na wanajua kinachoendelea duniani,
1 Reactions
3 Replies
299 Views
Kiongozi wa Chama Kikuu cha upinzani Tanzania kaongea tena. Ni mwaka wa bilionea Hashim Rungwe, atamba na kusema yuko tayari kumuachia Mbowe uenyekiti wa chama. Piga picha mabilionea wawili wakae...
12 Reactions
127 Replies
6K Views
Hivi kuna Mtanzania mzalendo kama Humphrey Polepole? Huyu jamaa ni mzalendo kweli wa nchi yake japo ni chama cha mapinduzi lakini ni mzalendo Hawa ni aina ya CCM ya kina Nyerere yaani wale...
12 Reactions
148 Replies
14K Views
Katibu Mwenezi, Itikadi na sisa wa CCM Paul Makonda, yupo barabarani akizungukia maeneo mbalimbali ya nchi ambako amekutana na shida lukuki. Kuna shida zingine ni rahisi sana kutatuliwa bila...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Huyu hapa yupo live kabisa https://www.facebook.com/share/v/1BzNi3Gu2A/
1 Reactions
13 Replies
709 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…