The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,176
- 4,918
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mbunge wa Jimbo la Babati vijijini Daniel Sillo amewahakikishia Wananchi wa Jimbo Lake kuwa serikali itaendelea kuwasogezea huduma zote muhimu na wapinzani wasiotaka uchaguzi watajua wenyewe.
Akizungumza kuelekea uchaguzi mkuu Sillo amesema jambo la msingi ni kuendelea kulinda amani ya nchi huku akiongeza kuwa wale wasiotaka kufanya uchaguzi wananchi waachane nao ili wafanye maendeleo.
Akizungumza kuelekea uchaguzi mkuu Sillo amesema jambo la msingi ni kuendelea kulinda amani ya nchi huku akiongeza kuwa wale wasiotaka kufanya uchaguzi wananchi waachane nao ili wafanye maendeleo.