PreGE2025 No reform no Election ingeanzia kwenye mifuko yao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Shanily

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2024
Posts
958
Reaction score
1,805
Huwa nawashangaa Hawa wabunge na viongozi wa upinzani wakishupaza shingo zako "NO REFORM NO ELECTION" Ni mara ngapi wamechangia katika maendeleo ya nchi Yao kupitia pesa zao za mifukoni wanazolipwa na serikali wanayoipigia kelele!?. Mbona pesa wanazolipwa na serikali hiyo hawazikatai wanazipokea, kama humtaki mtu na siasa zake na chake usile.

Wanakusanya mishahara na marupurupu kibao kwenda kwenye mifuko Yao huoni hata mara Moja wakijitolea pesa za mifukoni kwenye ujenzi wa nchi, kazi kusubiri serikali ndo ifanye, wangekuwa na uchungu na hii nchi wangeanzia hapo.

Aliyesema siasa ni mchezo mchafu hakukosea, ni kama unarusha jiwe gizani hujui litampata nani.

Na baadhi ya Watanzania wameshupaza shingo "No reform no Election", kama mtu ameshindwa kuleta maendeleo kwenye Jimbo lake kwa miaka nenda Rudi, wewe atakuletea Nini!?.

Kila mwanasiasa ni mchumia tumbo , zindukeni acheni kuingizwa mkenge na wanasiasa.
 
Kwa hiyo wakiwa wachumia tumbo unashauri nini kuhusu mabadiliko ili wasiwe wachumia tumbo?
Mabadiliko tuanze kuona kwenye posho zao wanazolipwa zikiwa zinaelekezwa walau kwa asilimia kadhaa kwenye maendeleo na ziwekwe hadharani kama wanavyotaka tume huru. Hapo tutasema kweli tumepata wanamabadiliko.
 
Huwa nawashangaa Hawa wabunge na viongozi wa upinzani wakishupaza shingo zako "NO REFORM NO ELECTION" Ni mara ngapi wamechangia katika maendeleo ya nchi Yao kupitia pesa zao za mifukoni wanazolipwa na serikali wanayoipigia kelele!?. Mbona pesa wanazolipwa na serikali hiyo hawazikatai wanazipokea, kama humtaki mtu na siasa zake na chake usile.

Wanakusanya mishahara na marupurupu kibao kwenda kwenye mifuko Yao huoni hata mara Moja wakijitolea pesa za mifukoni kwenye ujenzi wa nchi, kazi kusubiri serikali ndo ifanye, wangekuwa na uchungu na hii nchi wangeanzia hapo.

Aliyesema siasa ni mchezo mchafu hakukosea, ni kama

unarusha jiwe gizani hujui litampata nani.

Na baadhi ya Watanzania wameshupaza shingo "No reform no Election", kama mtu ameshindwa kuleta maendeleo kwenye Jimbo lake kwa miaka nenda Rudi, wewe atakuletea Nini!?.

Kila mwanasiasa ni mchumia tumbo , zindukeni acheni kuingizwa mkenge na wanasiasa.
 
Huwa nawashangaa Hawa wabunge na viongozi wa upinzani wakishupaza shingo zako "NO REFORM NO ELECTION" Ni mara ngapi wamechangia katika maendeleo ya nchi Yao kupitia pesa zao za mifukoni wanazolipwa na serikali wanayoipigia kelele!?. Mbona pesa wanazolipwa na serikali hiyo hawazikatai wanazipokea, kama humtaki mtu na siasa zake na chake usile.

Wanakusanya mishahara na marupurupu kibao kwenda kwenye mifuko Yao huoni hata mara Moja wakijitolea pesa za mifukoni kwenye ujenzi wa nchi, kazi kusubiri serikali ndo ifanye, wangekuwa na uchungu na hii nchi wangeanzia hapo.

Aliyesema siasa ni mchezo mchafu hakukosea, ni kama unarusha jiwe gizani hujui litampata nani.

Na baadhi ya Watanzania wameshupaza shingo "No reform no Election", kama mtu ameshindwa kuleta maendeleo kwenye Jimbo lake kwa miaka nenda Rudi, wewe atakuletea Nini!?.

Kila mwanasiasa ni mchumia tumbo , zindukeni acheni kuingizwa mkenge na wanasiasa.
Ndiyo walivyokutuma CCM
 
Mabadiliko tuanze kuona kwenye posho zao wanazolipwa zikiwa zinaelekezwa walau kwa asilimia kadhaa kwenye maendeleo na ziwekwe hadharani kama wanavyotaka tume huru. Hapo tutasema kweli tumepata wanamabadiliko.
Kwann posho zao na sio posho yako au posho za ccmu
Je kodi zetu zimefanyiwa kaz gan ? Maana kila kitu msaada au mkopo

Huna tofaut na nyann , unatumia hisia na sio uhalisia kuchambua mamb
 
Huwa nawashangaa Hawa wabunge na viongozi wa upinzani wakishupaza shingo zako "NO REFORM NO ELECTION" Ni mara ngapi wamechangia katika maendeleo ya nchi Yao kupitia pesa zao za mifukoni wanazolipwa na serikali wanayoipigia kelele!?. Mbona pesa wanazolipwa na serikali hiyo hawazikatai wanazipokea, kama humtaki mtu na siasa zake na chake usile.

Wanakusanya mishahara na marupurupu kibao kwenda kwenye mifuko Yao huoni hata mara Moja wakijitolea pesa za mifukoni kwenye ujenzi wa nchi, kazi kusubiri serikali ndo ifanye, wangekuwa na uchungu na hii nchi wangeanzia hapo.

Aliyesema siasa ni mchezo mchafu hakukosea, ni kama unarusha jiwe gizani hujui litampata nani.

Na baadhi ya Watanzania wameshupaza shingo "No reform no Election", kama mtu ameshindwa kuleta maendeleo kwenye Jimbo lake kwa miaka nenda Rudi, wewe atakuletea Nini!?.

Kila mwanasiasa ni mchumia tumbo , zindukeni acheni kuingizwa mkenge na wanasiasa.
Mfumo wa kuchangia maendeleo ya nchi unajulikana mkuuu.

Wanalipa kodi zifuatazo

VAT wakinunua bidhaa .
Kama ni wafanya biashara wanalipa income tax.

Kama wananyumba wanalipa rent taxes na nyingine kibao mkuu.

Sasa nikuulize wewe ulitaka wachangiajee

Au huko kwingine wanachangiaje mkuu
 
Wanasiasa wotee ni wachumia tumbo, epuka matapeli. Wazalendo walishazikwa kitambo.
Hao ccm wamechangia kitu gani toka kwenye mishahara ya mamilioni na posho za kufuru kwenye serikali yao? Na wewe umeshachangia kiasi Gani kwenye maendeleo ya mtaa unaoishi kabla ya kuwaonea donge wengine?
 
Mkuu na wewe umeamua kuingia kwenye lile kundi la walamba matter core ya wa kuu na vikuu vya SISIEMBU
 
Huwa nawashangaa Hawa wabunge na viongozi wa upinzani wakishupaza shingo zako "NO REFORM NO ELECTION" Ni mara ngapi wamechangia katika maendeleo ya nchi Yao kupitia pesa zao za mifukoni wanazolipwa na serikali wanayoipigia kelele!?. Mbona pesa wanazolipwa na serikali hiyo hawazikatai wanazipokea, kama humtaki mtu na siasa zake na chake usile.

Wanakusanya mishahara na marupurupu kibao kwenda kwenye mifuko Yao huoni hata mara Moja wakijitolea pesa za mifukoni kwenye ujenzi wa nchi, kazi kusubiri serikali ndo ifanye, wangekuwa na uchungu na hii nchi wangeanzia hapo.

Aliyesema siasa ni mchezo mchafu hakukosea, ni kama unarusha jiwe gizani hujui litampata nani.

Na baadhi ya Watanzania wameshupaza shingo "No reform no Election", kama mtu ameshindwa kuleta maendeleo kwenye Jimbo lake kwa miaka nenda Rudi, wewe atakuletea Nini!?.

Kila mwanasiasa ni mchumia tumbo , zindukeni acheni kuingizwa mkenge na wanasiasa.
Tutatajie orodha ya hao wabunge wa upinzani wanao kusanya michango ya tonetone, nakusubili.........!!!
 
Mfumo wa kuchangia maendeleo ya nchi unajulikana mkuuu.

Wanalipa kodi zifuatazo

VAT wakinunua bidhaa .
Kama ni wafanya biashara wanalipa income tax.

Kama wananyumba wanalipa rent taxes na nyingine kibao mkuu.

Sasa nikuulize wewe ulitaka wachangiajee

Au huko kwingine wanachangiaje mkuu
Nitajie mpinzani mmoja ambae analipa rent taxes!?. Wote wanatembelea magari ya kifahari yaliyonunuliwa kwa Kodi zetu. Uliwahi kuona hata siku Moja Hilo gari njiani likabeba hata raia kuwasogeza mbele ya safari!?. Kama kweli wanauchungu na nchi Yao na raia wake!?.

Ni mara ngapi wamejitolea vya mfukoni mwao kwaajili ya watu wao na nchi yao!?.
 
Hao ccm wamechangia kitu gani toka kwenye mishahara ya mamilioni na posho za kufuru kwenye serikali yao? Na wewe umeshachangia kiasi Gani kwenye maendeleo ya mtaa unaoishi kabla ya kuwaonea donge wengine?
Hao Wapinzani wamechangia Nini kutoka kwenye posho zao na mishahara Yao mpka iwape uhalali wa kushupaza shingo ya mabadiliko ilihali hawawezi hata kujitolea vya mifukoni mwao.

Sishangazwi na CCM ndo sera zao za hovyo, hao Wapinzani ndo wanaonishangaza ikiwa posho wanapokea na mishahara wanakula wao na familia zao.

Mimi Uliona wapi nimeshupaza shingo ya mabadiliko!?. Kama siwezi kuleta mabadiliko kwenye jamii yangu kutokana na changu kidogo siwezi kushupaza shingo
 
Back
Top Bottom