Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uanzishaji wa Vyanzo vya Mapato kwa Ajili ya Kudhibiti Maambukizi ya Ukimwi na Kugharamia Bima ya Afya kwa Wote Kutoza magari na mashine (heavy machines) zinazoingizwa kutoka nje ya nchi kama...
1 Reactions
1 Replies
412 Views
GT Aisee nimepitia twiter kuangalia ile nyomi ya dodoma yaani makao makuu ya nchi na bunge, kwa kweli sijshangaa chadema kupigwa stop, watu waliitwa wakaitika hakuna mfano. Ukweli usemwe tu kwa...
3 Reactions
5 Replies
560 Views
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof Kitila Mkumbo akizungumza leo Juni 12,2025 akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa...
0 Reactions
2 Replies
579 Views
Wakuu, Yaani wakati Tanzania, Spika anajitokeza hadharani na kusema kuwa Bungeni sio sehemu ya kuongelea utekaji, huko Kenya mambo ni tofauti sana. Wameamua kusitisha vikao vya bunge kujadili...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Wakuu, Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limesema kwamba, halina Mkuu wa kituo cha polisi wa aina ya yule ambaye video yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari kisemacho...
13 Reactions
67 Replies
6K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya kuvunja sheria, kutukana watu na kwamba anayefanya...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
1. Nitumie fursa hii kumpongeza JOHN HECHE Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kwa kuongoza mapambano ya kupigania UKOMBOZI wa kweli wa Nchi hii, hasa katika kipindi hiki kigumu. 2. Nitoe rai...
0 Reactions
2 Replies
249 Views
Sote tunaona yanayoendelea ndani ya CHADEMA ya leo. Uchaguzi ndani ya chama umezaa kizaazaa baada ya madalali wa kisiasa nchini kupigwa chini. Takriban miaka 12 iliyopita, wakati huo Kijana Zitto...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Mbowe amemaanisha yupo serious kwenye vita yake na Chadema, kuwapora wanachama na viongozi kadhaa, kuifungulia kesi kwa msajili was vyama na kuna kesi nyingine pia imefunguliwa na aliyekuwa Makamu...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ameeleza kuwa hadi kufikia tarehe 30 Juni 2024, deni la serikali lilifikia shilingi trilioni 97.35. Hii ni ongezeko kutoka trilioni 82.25...
10 Reactions
96 Replies
5K Views
Wapenda haki kesho tumuunge mkono, kuna come back sio ya kitoto, yaliyofichwa yatafichuliwa, aliahidi kuwa atapigana hadi watekaji wajitokeze
50 Reactions
178 Replies
10K Views
ulinzi wa wa leo wa namba 1 ulikuwa kabambe kwelikweli. Mara ya mwisho ulinzi wa aina ya leo ulionekana miaka minne na ushee iliyopita chini ya mwandamizi himself. Hatujazoea kuona hivyo!
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Watanganyika mwaka huu wameamua kudadadeki!!! Muda mchache uliopita ITV wamepost kwenye page yao ya Facebook taarifa hii; Watangayika bila hofu yeyote, Vijana, Wazee, Wamama na Wababa, Wakristo...
32 Reactions
115 Replies
7K Views
Heee!! Jamaa yupo serious kabisa akifoka kuhusu ubwabwa, hivi haoni wala kujiuliza mifumo na watu wanaosababisha huo ubwabwa kukosekana kwa wanannchi? Wakuu wa JF inabidi tumfumbue macho kwa ===...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Diwani wa Kata ya Swaya katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Shaban Saleh Nduta, ametangaza rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 11 Juni 2025, akitoka Chama cha Demokrasia na...
0 Reactions
9 Replies
717 Views
Inawezekana ni kweli kwamba chama hiki kina ma injinia wa siasa. Chama hiki kina ma-genius wa siasa. Wanajua wafanye nini saa ngapi, na wapi. Ni muda mfupi tu, lakini angalia walivyoifunika...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Serikali imetoa wito kwa wananchi kubadilika na kuwekeza katika bima ya afya kama njia ya kujiandaa na changamoto za kiafya, ikiwemo gharama kubwa za matibabu ya magonjwa kama saratani. Wito huo...
0 Reactions
4 Replies
361 Views
copy and paste.............AIONE JAJI HAMIDU MWANGA TANZANIAN JUDGES AND THE PROTECTION OF HUMAN RIGHTS Posted on May 1, 1995 THE LAW has a vital role to play in the current transformation of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAVUNDE AZINDUA SACCOS YA WAENDESHA PIKIPIKI NA BAJAJ DODOMA. ▪️Atoa rai SACCOS kuwainua Vijana kupitia mkopo wa Asilimia 10 ▪️Ataka Vijana wamiliki vyombo vyao vya usafiri ▪️Wampongeza Rais...
0 Reactions
2 Replies
377 Views
DEBORA TLUWAY: HATUSITISHI UCHAGUZI OKTOBA LAZIMA TUTIKI Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Debora Tluway amewataka Wananchi kuendelea...
0 Reactions
7 Replies
468 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…