Tunatokaje hapa tulipo?

Tunatokaje hapa tulipo?

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
645
Reaction score
1,369
1. Nitumie fursa hii kumpongeza JOHN HECHE Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kwa kuongoza mapambano ya kupigania UKOMBOZI wa kweli wa Nchi hii, hasa katika kipindi hiki kigumu.

2. Nitoe rai kwamba, pamoja na kuzuiliwa kufanya harakati za Ukombozi kwa sasa, ni vema kubuni njia zingine za mapambano ambazo zitakuwa ni UNDERGROUND lakini zina nguvu na joto kubwa kuliko hata zile za hadharani. Ikumbukwe kuwa, kupigania UKOMBOZI katika Nchi hii ya kwetu ni sawa kabisa na wewe binadamu kwenda kumpokonya SIMBA kitoweo alichokishikilia na meno mdomoni. Ni ngumu sana lakini inawezekana kabisa.

Hapa inatakiwa kubuni MBINU, NJIA, MIKAKATI na MAARIFA ya pekee. Lakini inawezekana.

Mungu mkubwa, tutashinda vita.
Amina.
 
Mbinu ya kujikwamua ipo tayari!

No Reforms No Election 🔥
 
Back
Top Bottom