Waziri wa Mipango na Uwekezaji, na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof Kitila Mkumbo akizungumza leo Juni 12,2025 akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa Mwaka 2025/2026 Katika Bunge la 12, Mkutano wa 19 Kikao cha 45
Amewashukuru wananchi wa Jimbo la Ubungo kwa kumuamini na kumpa nafasi hiyo, Zaidi amezungumza kuwa na imani kubwa kupata nafasi ya kugombea kupitia chama cha Mapinduzi na kushinda uchaguzi October 2025
Wana jukwaa, vipi tunamrudisha kwenye kiti kweli? the guardian 17 na Lucas Mwashambwa hapo vipi wakuu