Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,429
DEBORA TLUWAY: HATUSITISHI UCHAGUZI OKTOBA LAZIMA TUTIKI
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Debora Tluway amewataka Wananchi kuendelea kuendelea kujiandaa Kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuhakikisha wanakipa Chama Cha Mapinduzi kura za kishindo.
Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Inyoga, Mlele 11 Juni, 2025 katika Ziara ya Siku Saba za Kibabe ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida katika Mikoa ya Katavi, Rukwa na Mpanda iliyoanzia katika Mkoa wa Katavi.
Vijana Tunasema
OKTOBA TUNATIKI✅✅✅
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#TunazimaZoteTunawashaKijani
#OktobaTunatiki✅✅✅