Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi ni kijana amabye duka langu la simu mwaka jana lilivunjwa na kuibiwa na hata kupata hasara ya milion hamsini. Kelele za siasa zimeendelea kufanya hata sisi wafanya biashara kutokuweza...
0 Reactions
8 Replies
154 Views
Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani. Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane. Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa...
3 Reactions
31 Replies
511 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema zuio la mikutano ya hadhara halilengi kukiuka misingi ya demokrasia nchini, bali kuimarisha ulinzi na usalama, akisisitiza kuwa...
0 Reactions
4 Replies
178 Views
"Brand ya Wanaume", DC Magoti wa Kisarawe akilalamikiwa vikali baada ya polisi kuvamia nyumba na kuvunja geti. Utaratibu wa ukamataji kwa PGO umezingatiwa? Clip inazunguka mitandaoni.
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema baadhi ya nchi jirani zinachochea machafuko nchini kwa lengo la kudhoofisha uchumi wa Tanzania Vita ya kiuchumi ni kuchocheana nyie...
1 Reactions
33 Replies
515 Views
Wakati CHADEMA wanaelekea kwenye Ofisi ya Mkurugenzi kudai barua za viapo, polisi walivuruga na kuanza kupiga mabomu zikiambatana na risasi za moto kwa wapenzi na wanachama wa CDM eneo la...
77 Reactions
1K Replies
143K Views
CCM imeshatutosha ni miaka 49 iliyopo nayo haija letea Tanzania chochote ni mateso na ugandamizaji wa haki za kibinadamu
3 Reactions
6 Replies
123 Views
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026, amesema chama hicho kinna madeni...
0 Reactions
8 Replies
421 Views
Ukimsikiliza Museveni na mtoto wake kusema wanaharakati wanajificha kwenye nchi za watu waharibu nchi. Nimebidi kushangaa maana kauli kama hizi zina fanana kauli za hapa kwetu. Sasa kama...
3 Reactions
0 Replies
78 Views
Wanasheria wengi wa chadema na upinzani wanachangamoto ya kushindwa kutafsiri katiba ya Nchi. Imagine mwanasheria mzoefu hajui kuwa kwa Tanzania huwezi ukafanya mikusanyiko yyte bila kibali cha...
0 Reactions
56 Replies
733 Views
Nasikia kuna maandamano yanaratibiwa kufanyika tarehe 07/07, wanaoratibu na wanaotaka kushiriki nina haya ya kusema: 1. Historia inafundisha kuwa amani ya kweli inalindwa kwa damu. Ni kati ya...
3 Reactions
46 Replies
540 Views
  • Featured
Wakili Peter Madeleka amesema kuwa hakuna sheria yoyote inayolipa Jeshi la Polisi mamlaka ya kutoa au kuzuia vibali vya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa. Akifafanua kuwa, kwa mujibu wa...
7 Reactions
42 Replies
896 Views
Katibu Mkuu wa CHAUMMA Salum Mwalimu akizungumza Mei 7, 2026 amesema kuwa Msimamo wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) hakitaki masuala ya Katiba Mpya na Utekaji yaendelee kuwa ajenda za kudumu...
0 Reactions
7 Replies
311 Views
https://youtu.be/6J2JmIcz8jM?si=yQX0B9XISyGvqc9L Sasa Chawa wamefumka, wanaanza kujiropokea hovyo... Kusema ukweli, hawana hoja. Wako desperate kutetea maovu na uovu wao wakidhani wataokoka...
4 Reactions
17 Replies
412 Views
Mchambuzi wa Siasa na Diplomasia Francis Fran ceo anaeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wametekwa na wanaharakati hivyo wamekosa Msimamo; Chama ambacho "kimetekwa na...
1 Reactions
14 Replies
206 Views
Msanii wa filamu nchini, Steven Mengele, maarufu Steve Nyerere, amesema ametumwa na vijana nchini kwamba; "niwaambie hawataki vurugu, wanataka Amani" akisisitiza kuwa vijana kwa sasa wameamua...
3 Reactions
27 Replies
457 Views
-Tumeuliza nani anawatunza akina pambalu na Hilda Newton huko Kenya hamjibu. -Tumewauliza kwanini Lissu alichangisha watu Hela ili akanunue gari lakini akaishia kukarabati gari Hela za watu...
2 Reactions
39 Replies
266 Views
Tanesco wamesema kumetokea hitilafu kwenye grid ya Taifa kwa hiyo mikoa yote umeme umekatika kama nchi inabidi hii approach ibadilike Kwanini nasema hivi ni hatari sana kwa nchi kuendelea na huu...
18 Reactions
86 Replies
2K Views
Waziri Katambi ameeleza kwamba NIDA sio taarifa binafsi, Umri sio taarifa binafsi, namba ya simu sio taarifa binafsi Huyu ni waziri mkubwa ndani ya baraza la mawari: Sina hakika sana na level ya...
3 Reactions
6 Replies
159 Views
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) amebuni mfumo wa kidijitali unaotumia teknolojia ya Akili Bandia (AI) unaolenga kuboresha utoaji wa huduma na kudhibiti vitendo vya udanganyifu katika...
7 Reactions
22 Replies
409 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…