Mh. Rais, nakuomba sana, mfute kabisa katika ramani ya siasa za CCM na nchi kwa ujumla. Hatuwezi kufuga majoka, tuyalishe halafu yatake kutuuma.
Asante. Natanguliza shukrani
Hali ni tete hapa mkoani Simiyu. Raisi Samia atakuwa na ziara hapa.
Sasa maandalizi ya kuonyesha kuwa anakubalika yamekuwa ni maumivu Kwa raia.
Raisi atakapo pita wafanya bihashara wameamliwa...
Kumekucha ,kumekucha
Huku Chato kusini wagombea wawili matajiri wa dhahabu,wanaonyeshana jeuri ya pesa
Wikiend hii alialika watu 500 nyumbani kwake Kata ya Bwanga na kuwalisha nyama kuanzia...
1. Drama hii imesukwa kitengo. Mheshimiwa atapewa adhabu Kali na Kamati.
2. Kisha, atatimkia CHADEMA na nyie bila kuchunguza mtampokea na kumpa nafasi. Kama ilivyokua Kwa Sumaye, Nyalandu na...
WAZIRI KOMBO AWASISITIZA DIASPORA KUCHANGAMKIA FURSA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasisitiza Watanzania waishio nchini...
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umeingia mkataba wa miaka 12 na kampuni binafsi ya usafirishaji ya Emirates National Group (ENG) kutoka Abu Dhabi kuendesha mfumo wa BRT...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Bara, John Heche atazungumza na Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells...
Wakuu,
Mara baada ya kuwasilishwa kwa bajeti ya serikali bungeni mwaka wa fedha 2025/26 kumekuwa na maoni ya wadau mbalimbali kuhusu pendekezo la kutoza ushuru wa 10% kwenye mapato yaliyobaki...
Je, KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2025 NI NINI? KATI YA NIDHAMU AU UDHALIMU WA KISHERIA
I. DHANA YA MSINGI KANUNI ZINAZOVAA NGOZI YA DEMOKRASIA
Kanuni hizi zinasisitiza maadili kama...
Kosa kubwa sana la vyama vyetu hivi ni ukosefu wa hoja au itikadi inayotofautisha baina ya chama kimoja na Kingine. Mirengo ya vyama haviko wazi sana mbele ya wananchi.
Nilifuatilia uchaguzi wa...
Habari za jioni ndugu wana JFs
Napenda kutoa shukrani zangu za Dhati kabisa kaa Serikali ya CCM ya awamu ya tano na hii ya sita kwa kazi nzuri waliyofanya kwenye sekta ya afya.
Mambo ni mazuri...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amesema chama hicho kinasimamia amani na kiko tayari kukosolewa ikiwa upizani watasema wanavunja kanuni ya utawala bora.
Licha ya...
Tunakumbushana tu
Nilipendelea kumwita rafiki yangu Edward Mzee wa Nyomi
Yaani kuanzia anachukua fomu hadi anafunga Kampeni za UKAWA ilikuwa ni rekodi tu ya nyomi
Eddo alijua sana Siasa Aiseee ππ
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Juni 17, 2025 akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yanayofanyika katika viwanja...
Pamoja na yote yanayotokea ila ni lazima Rais wetu tumlinde kwa nguvu zote. Rais ni tunu ya taifa, hivyo alindwe kwelikweli.
Naipongeza sana PSU & TISS kwa kazi nzuri ya kumlinda Rais wetu.
Rais Samia kateleza ulimi alipokuwa anatoa ufafanuzi wa hoja za Luhaga Mpina. Kazi ya Mbunge si kuleta maendeleo wala kutoa huduma kama alivyodai. Bali mbunge ni mwananchi anayewawakilisha wenzake...
David Kafulila
MP
Member of Parliament
for Kigoma South
Personal details
In office
November 2010 β November 2015
Preceded by
Manju Msambya
Born
15 February 1982 (age 43)...
Mbunge wa Makete, Festo Sanga akizungumza Bungeni, leo Juni 17, 2025 amesema anajivunia kuona michango ambayo alichangia Bungeni imefanyiwa kazi na Serikali, akitaja baadhi kuwa ni Faini ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Ziara ya Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama...