Rais wetu ni lazima tumlinde

Rais wetu ni lazima tumlinde

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,211
Reaction score
4,645
Pamoja na yote yanayotokea ila ni lazima Rais wetu tumlinde kwa nguvu zote. Rais ni tunu ya taifa, hivyo alindwe kwelikweli.
1000340936.jpg

Naipongeza sana PSU & TISS kwa kazi nzuri ya kumlinda Rais wetu.
 
Kwa uwongo na uchawa au
 
Mimi hao PSU sijui TISS wanavyoendelea kukaa kimya na nchi inaliwa nawaona Majambazi tu
 
Back
Top Bottom