PreGE2025 John Heche: Shughuli ziendelee bila kutumia rasilimali za chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,021
Reaction score
6,858
CHADEMA tunapenda tusomeke kuwa sisi ni wapigania haki na pia tunaheshimu misingi ya sheria na utawala bora hivyo tuna wajibu wa kuheshimu maamuzi ya mahakama katika misingi iliyo ya haki na kweli kamwe hatutasujudu kwenye mambo ya hila na ukandamizaji. Tuna kusudi la kuomba la kuomba mapitio upya yaani review ya hukumu hiyo ya tarehe 10, juni 2025 maana amri zilizotolewa hazina msingi wa haki.”

“Wakati jambo hili likiendelea kufanywa na wanasheria wetu tunawaelekeza wanachama amri zifuatazo. Amri ya zuio la kutokujishughulisha na shughuli za siasa imeelekezwa kwa Katibu Mkuu na bodi ya wadhamini hivyo viongozi wengine wote na wanachama tunawaelekeza kuendelea na shughuli za kisiasa kama kawaida bila kutumia rasilimali za chama. Hivi sasa chama kipo kwenye program ya kichama ya kuziba mapengo vikao hivi viendelee na kazi hii ikamilike kama ilivyopangwa”

Amesema John Heche akizungumza kupitia akaunti ya YouTube ya CHADEMA MEDIA TZ leo Juni 17, 2025.
 
New Tactics.......Safi sana
 
Out of the box safi
 
katibu mkuu hewa siao? :pedroP:
 
Hii ina nguvu na impact mara 10 zaidi ya kutumia rasilimali za Chama.
 
Leo Mpina ametufungulia page mpya!Mikutano iendelee,huenda walifanya hivi ili mama akiwa kwenye ziara kanda ya ziwa watu wamfuatilie kwenye media wqkati NRNE imesimamishwa na mahakama!!
 
"namshukuru kikwete kuilea chadema na kuwa chama Bora na imara!na Sasa sisi comrades tunapata pa kupumulia nankufurahi,mtoto wa kitanganyika akituokoa Kwa mlango was nyuma vile!wakati ccm yetu imetekwa na chawa fc!

Namshukuru mungu!Namshukuru kikwete"

Alisikia Mzee warioba akiwa hukooo Butiama!
 
hii alisema lini mkuu na je kuna video clip ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom