Eti hadaiwi huku Simiyu nzima haina hata lami ya kusingiziwa, achilia mbali maji, afya, elimu n.k ni aibu tupuUrais si ni uongozi wa kuwatumikia wananchi na ni wito kama ametimiza kila kitu hakuna tunacho mdai basi apumzike aingie mwingine tumdai au anataka aendelee afanye nini sasa akati kwa uwezo wake amemaliza?
usikilizwe! una hoja!!!!!Urais si ni uongozi wa kuwatumikia wananchi na ni wito kama ametimiza kila kitu hakuna tunacho mdai basi apumzike aingie mwingine tumdai au anataka aendelee afanye nini sasa akati kwa uwezo wake amemaliza?