Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WE DON’T NEED PAINKILLERS — WE NEED A COMPLETE CURE FOR THE DISEASE. Abductions are real, and the abductors exist; some of them have already been cited in the matter of Mdude Mpaluka Nyagali...
2 Reactions
5 Replies
857 Views
Hellow! Nimesikia kiongozi mmoja akielekeza wapiga kura kuwa, Mbunge aliyepo Ndugu Mpina hafai kuwa Mbunge wa jjimbo Hilo. Kwamba anatafuta umaarufu jukwaani, Kwamba hatoshi kwenye Nafasi hiyo...
14 Reactions
56 Replies
3K Views
Sijawahi kuwa natumia rushwa kushinda (uchaguzi). Sitoi rushwa, huwa nawawezesha nawa 'facilitate' kabla ya uchaguzi. Mimi ni Mbunge kuna ahadi nilitoa ahadi ya kuwapa sungusungu pikipiki kila...
1 Reactions
5 Replies
574 Views
Habari za Leo! Unapomkoaa Boss au mtawala au kiongozi wako. Moja ya mambo muhimu ya kuzingatia ni mtazamo wake juu yako. Je ni Negative au positive? Kama mtazamo wake ni Negative, hata ukimkosoa...
1 Reactions
11 Replies
663 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Busega Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 19 Juni, 2015...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Wakuu, Diwani wa Kata ya Msasani, Luca Neghest ambaye pia ni mmiliki wa Bongo 5 amesema, ameandaa safari maalum ya kufanya utalii wa ndani kwa kupanda treni ya SGR kwenda mkoani Morogoro. Diwani...
1 Reactions
19 Replies
637 Views
Kila siku anajinasibu kwamba yeye ndo anatoa hela. Na kila mtu kaaminisha yeye ndo anajenga madaraja, Shule, barabara nk. Sasa leo kaombwa barabara live akawa mkali. Akasema ukimuomba ni kutaka...
56 Reactions
128 Replies
8K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), jana Juni 18, 2025 ameshiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Magu Mkoani Mwanza...
2 Reactions
6 Replies
732 Views
Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu ambao haukubariki. Chama cha upinzani kipo sahihi kuhamasisha mazingira ya uwazi na...
2 Reactions
2 Replies
346 Views
Wakuu, Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeanza kufanya ziara zake kwa kutumia ndege ya Helicopter (chopa). Na hivi leo chopa hiyo imetoka kiwanja cha ndege Mwanza kisha kushuka uwanja wa...
8 Reactions
57 Replies
4K Views
Leo tarehe 19/6/2025 inafanyika uzinduzi mkubwa Wa Kihistoria,Hapo awali ilionekana kama jambo haliwezekani lakini kwa juhudi zake lilianza na hatimae leo linazinduliwa, wakati wa mchakato wa...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Utata gari la RC MKUU mmoja wa mikoa nchini (majina yanahifadhiwa kwa sasa), anadaiwa kuingia katika kashifa ya kununua gari la Serikali (Shangingi), alililokuwa akilitumia awali, Raia Mwema...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
My Take Hakuna mjomba wa kukuletea maendeleo kila mmja awajinike kulipa Kodi "Juzi nilizindua Jengo la TRA ndani ya Mkoa huu (Simiyu) nikawasifia sana TRA ndani ya Mkoa huu kwa kufikia malengo ya...
4 Reactions
81 Replies
3K Views
Yote haya ili kudanganya uma kuwa ana pendwa. Hatumuelewi wala hatufich. Sheria zetu naamini pia haziruhusu kumpakiza binadamu kama bidhaa au mnyama. Hii sio sawa Watanzania (watanganyika)...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Je, Katiba yetu inaruhusu Rais aliyepo kupeleka mswada Bungeni na kuliomba Bunge kuondoa kinga ya Rais ya kutokushtakiwa ili Rais afikishwe Mahakamani kwa makosa yake na mwishowe kuhukumiwa...
4 Reactions
9 Replies
593 Views
Hizi ni Nukuu za Nyerere "Watu walio hatari sana ni wale ambao wanafikiri kuwa wanajua kila kitu, wala hawana haja kujifunza zaidi. Hii ni tabia mbaya ambayo huzuia kabisa maendeleo.” ” Tunataka...
17 Reactions
46 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kila hatua inayochukuliwa na Serikali inalenga kuinua maisha ya wananchi na kukuza uchumi wa Taifa. “Ndugu zangu wa Simiyu, kazi yetu kama Serikali ni kushika zao...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
1. Ujenzi wa bwawa la umeme. Mradi wa ujenzi wa bwawa la umeme pale Rufiji ulikuwa unapata upinzani mkali tangu enzi ya baba wa taifa mwl Nyerere. Wasomi wa ndani ya nchi na wasomi wa kimataifa...
11 Reactions
26 Replies
1K Views
Nataka tu kujua jinsi nafsi zinavyowasuta waliopinga miradi ifuatayo 1. Mradi wa SGR Mradi huu ulipingwa sana na watu mbalimbali kiasi kwamba wabunge wa Chadema walitoka nje ya bunge wakidai...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Mambo makuu ya kisiasa ambayo hajawahi kutokea tangu Dunia iumbwe na tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uanze Nchini ni pamoja na:- 1. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Nchini kupigwa...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom