SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Usifadhaike kwa kutoteuliwa ukuu wa Mkoa. We endelea kuweka Camera mitaani. Soon utaonekana Tu. Wilaya ya Ubungo bado tunakuhitaji Sana kuweka Camera
Jamaa anahangaika sana mwambieni atulie haya mambo hayahitaji keleleUsifadhaike kwa kutoteuliwa ukuu wa Mkoa. We endelea kuweka Camera mitaani. Soon utaonekana Tu. Wilaya ya Ubungo bado tunakuhitaji Sana kuweka Camera
Iseee ficha aibu basikwani lazima awe RC ?
Kuwa RC wa Simiyu na kuwa DC wa Ubungo, kipi bora ?
Wakili DC aka Area CommissionerWakili msomi toka Handeni
Kama hataki teuzi anafanya nini ofisi ya mkuu wa wilaya?Acha ufala mkuu, nani kakwambia Albert anataka teuzi
S kazi aliyotumwa kufanyaKama hataki teuzi anafanya nini ofisi ya mkuu wa wilaya?
We nani kakwambia hataki?Acha ufala mkuu, nani kakwambia Albert anataka teuzi
Lazima anunue Hennessy Brandy kwanza.Alienda kumtembela Gig money ICU ?
Katumwa na nani?S kazi aliyotumwa kufanya