Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1;Mh Mohammed Mchengerwa 2;Mh Josephat Gwajima 3;Mh Luhaga Mpina 4:Mh Kishimba 5 Mh Steven Byabato 6: Mh Ummy Mwalimu 7: Mh Angelina Mabula 8: Mh Abood 9;Mh Job Ndugai
1 Reactions
11 Replies
775 Views
Hakuna Jipya Chini ya Jua hii hali ya kila mtu kutia Nia ya Ubunge kwa Chama cha Kijani hata 2020 ilikua hivihiv yani ilikua kituko kila mtu aliutaka ubunge. Hadi Kina steve Nyerere nao walitia...
1 Reactions
2 Replies
214 Views
Msanii hana hata Wimbo mmoja wa kukemea rushwa au Igizo la kukemea Ufisadi halafu Leo anataka Ubunge na kwa Ujinga wa mtu mweusi Watamchagua! Japo Shujaa Magufuli alipendelea kusema Watanzania...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Nimemsikia Esther Bulaya, aliyehamia CCM. Nimesikiliza maneno yake ya nyuma na yale ya sasa kupitia video inayozunguka. Ninachokiona ni kwamba Wanasiasa wa TZ ni sawa na Changudoa wetu. Hawana...
1 Reactions
6 Replies
417 Views
Baada ya kuripotiwa kuwa Jimbo la Kisesa ambalo Mbunge wake ni Luhaga Mpina anayeelekea kumaliza muda wake kuwa hakuna mtu aliyechukua fomu kuwania Jimbo hilo imebainika kuwa taarifa hizo sio za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inauma sana unaweza tamani uwatandike na radi Hawa wote. Hapa mwamba atapigwa mvua za kutosha kisa Laki 3 wakati majitu yanayoiba mabilioni ya pesa hakuna Takukuru anaewakamata. Acheni mambo...
9 Reactions
50 Replies
1K Views
Salaam, Shalom! Huu ni ushauri wangu na maoni yangu binafsi. UWEZO unao, Nia Unayo, na ujasiri huo pia unao. Nakushauri, chukua fomu ya kuwania Urais baada ya reforms kufanyika kupata Tume huru...
4 Reactions
50 Replies
1K Views
Hamad Komboza Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania Jumatano hii amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuwania ubunge wa Jimbo la Kinondoni.
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Msomi na Mhadhiri wa chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM)Mary Jimmy Malle (28),amejitosa rasmi kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Viti Maalum Elimu ya Juu kupitia chama cha Mapinduzi akitokea mkoa...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Mfanyabiashara na Mkuregenzi wa TWINTECH GROUP Kulwa Issa amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mtwara Mjini katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu...
0 Reactions
0 Replies
231 Views
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tegemea Mbogela amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge wa viti maalum mkoa wa Njombe kupitia Chama hicho. Soma,Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia...
0 Reactions
3 Replies
336 Views
Ufisadi mkubwa tena: Dawa hizi ni hatari kwa Binadamu ----------------------------------------------------------------- Hiki ni kipindi pekee cha vugu vugu la kuhanika ufisadi. Hivi...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kigoma Deogratius Nsokolo akizungumza kuhusu suala la wasanii na watu maarufu kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Wanabodi, Kwanza angalieni hii picha More than 60% of Rwanda’s parliamentarians are women. Photo: Sam Ngendahimana Nimesoma kwenye Ripoti ya WB, Bunge la Rwanda ndilo Bunge linaloongoza Dunia...
17 Reactions
89 Replies
11K Views
Huyu mama namkubali jamani. Nimejaribu kusikiliza speech zake zinavutia kiasi. http://www.ted.com/index.php/talks/view/id/152 http://www.ted.com/index.php/talks/view/id/127
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi Samia Suluhu Hassan naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuitumikia kwa moyo wangu wote na kwamba nitaihifadhi, nitailinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri kwa sauti ya Iron Lady SSH,kiboko ya wanasiasa uchwara. Moja kwa moja kwenye mada,kuna msemo unasomeka kwamba starehe ya maskini ni ngono,bila shaka unasadifu kwa...
9 Reactions
103 Replies
9K Views
Kazi yangu kubwa sana leo baada ya kuanzisha huu Uzi ni kusoma tu Comments zenu mkiwa mmeshakijia Chama Babu.
0 Reactions
3 Replies
461 Views
Wakili wa kujitegemea Tumsifu Kweka, ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, leo amejitokeza rasmi kuchukua fomu za kuwania ubunge...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…