Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia amesema Kiswahili kina uwezo wa kuwaunganisha Waafrika na kupendekeza kitumike kama lugha ya mawasiliano, elimu na biashara katika nchi za Afrika, ikiwemo Comoro. "Lugha pekee ya...
0 Reactions
5 Replies
507 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius...
3 Reactions
91 Replies
4K Views
Hiki kitu nimekuwa nikijiuliza sana Masheikh wengi wamekuwa wakitete Amani badala ya haki,huku ukiangalia kwa maksudi serikali na chama tawala haitaki kukubali kubadili baadhi ya vifungu vya...
1 Reactions
10 Replies
524 Views
DAR: Jeshi la polisi limendelea kuimarisha hali ya ulinzi maeneo ya Ubungo, Kibo Dar es Salaam eneo lilipo Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) wakati huu ibada ikiendelea. Polisi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
GWAJIMA ATUMWA NINAWI AKIMBILIA TARSHISHI, KAWE IMTOSE BAHARINI. Na, Robert Heriel Gwajima anafanana kwa kiasi kikubwa na Nabii Yona katika kipengele cha Kukimbia uso wa Mungu. Kwa Wasio Mjua...
11 Reactions
29 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Fadhil Maganya, amesema baadhi ya watia nia wa nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho, hasa ubunge, wamekuwa wakieneza tuhuma za uongo dhidi yake ili...
0 Reactions
4 Replies
578 Views
Friends and Our Enemies, Gwajima baada ya kushindwa na kukosa mashiko ya kisheria kufuatia kufutwa kwa kanisa lake kwa kile kinachodaiwa ni kukiuka taratibu na masharti ya uendeshaji wake sasa...
2 Reactions
16 Replies
722 Views
Polisi wameongeza ulinzi katika eneo la Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, ambako kunapatikana Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM). Hatua hiyo imechukuliwa kama tahadhari kufuatia...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari za Jumapili! Kuna mambo watu hawayaelewi yanayohusu uhuru, utawala, kujitawala na mambo yake. Mimi kazi yangu ni kufungua minyororo yako na yajamii! Uhuru wowote ambao hukujenga msingi...
5 Reactions
14 Replies
688 Views
Kama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa. Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru. Siongezi neno. Mto wa Mbu Illinois -USA
47 Reactions
108 Replies
8K Views
Kada wa CCM Wilaya ya Rufiji, Shaban Matwebe, ambaye awali alilalamikia kunyimwa fomu ya kuwania Ubunge, hatimaye amekabidhiwa fomu hiyo leo Julai 01, 2025. Matwebe amesema licha ya vikwazo...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Wale waliolalamikia mifumo mibovu ya wizi, uchafuzi, uhujumu na kukandamiza wengine hawakuwa na nia ya mabadiliko, lengo lao ilikuwa ni wawe sehemu ya watakao kula keki. Walipoona ugumu wa...
7 Reactions
15 Replies
757 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa wito kwa watendaji wa kata, wenyeviti wa mitaa na watendaji wengine kuhakiki sha wanasimama katikati bila upendeleo au kuegemea upande...
0 Reactions
5 Replies
534 Views
Wakati joto la maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 likizidi kupanda, wananchi wametakiwa kuchukua nafasi ya kipekee katika mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa...
0 Reactions
2 Replies
337 Views
Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi...
8 Reactions
111 Replies
4K Views
nchini kenya kuna ishu ya raisi kujenga Kanisa ikulu, ila kilichonishangaza kama mtanzagiza ni kwamba raisi Ruto kasema anatumia fedha zake au kwa maana nyingine ameelezea alikozitoa fedha za...
0 Reactions
1 Replies
300 Views
Tunasubiri uzinduzi wa Efatha Mwenge kwa Nabii na Mtume Mwingira Siasa na Dini tofauti yake ni ndogo sana kwenye nchi zisizotawaliwa kidini Ahsanteni sana Nawatakia Dominica njema 🙏🇹🇿
0 Reactions
7 Replies
275 Views
Juni 29, 2025 majira ya saa 4 asubuhi Mwl. Mbelwa Petro amewasili ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM} kata ya Ruziba na kuchukua fomu ya kuwania kiti cha udiwani katika kata hiyo. Kada huyo wa...
1 Reactions
2 Replies
431 Views
Huyu Shekh kumbe ni kada mtiifu wa kijani kinondoni
18 Reactions
57 Replies
3K Views
Daima HIARI YASHINDA UTUMWA... Chaumma kiliwezeshwa ili kukiuwa CHADEMA kimeangukia pua na sasa kiko njiani kuelekea ICU then mortuary! Vipi kuhusu 'Oktoba tunatiki (October tuna tick)...
14 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom