Polisi wazidi kuimarisha hali ya ulinzi ibada ikiendelea

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,154
DAR: Jeshi la polisi limendelea kuimarisha hali ya ulinzi maeneo ya Ubungo, Kibo Dar es Salaam eneo lilipo Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) wakati huu ibada ikiendelea.

Polisi walifika mapema leo Asubuhi kuimarisha hali ya ulinzi kutokana na uwepo wa uvunjifu wa sheria kwa waumini wanaosali kanisani mara baada ya ibada kumalizika, lakini kwa mara hii idadi ya Polisi inaonekana kuzidi kuongezeka.
 
Wakristo waache ***** *****,kanisa limefutwa kwa sababu za kisheria...sasa fujo za nini?
 
Polisi wanaacha kuzuia uhalifu mtaani wanapoteza muda tu huko
 
DAR: Jeshi la polisi limendelea kuimarisha hali ya ulinzi maeneo ya Ubungo, Kibo Dar es Salaam eneo lilipo Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) wakati huu ibada ikiendelea.

Polisi walifika mapema leo Asubuhi kuimarisha hali ya ulinzi kutokana na uwepo wa uvunjifu wa sheria kwa waumini wanaosali kanisani mara baada ya ibada kumalizika, lakini kwa mara hii idadi ya Polisi inaonekana kuzidi kuongezeka.
Nilikuwa sijui kama kuna Kanisa linaitwa Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki!! Kuna tofauti gani kati ya KKAM na KKKT?
 
Hivi ulinzi ungeimarishwa hivi mtaani tusingesikia watu kupotea au kuona ufisadi wa mali ya Umma

No reform No Election
 
Back
Top Bottom