Yaani hawa maafisa wa haashauri ambao wote kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma wanatakiwa kuwa watiifu kwa serikali iliyopo madarakani. Uchaguzi hauwezi kuwa huru na wa haki
Tunahitaji...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu.
Nikiwa ukweni wilayani Rombo nikifanikiwa kufika katka kata ya SHIMBI KWANDELE, huko nilishuhudia matumizi makubwa ya fedha kabla hata mchujo wa...
Mh. Bashungwa shauriana na Mama yetu, waache watu wamwabudu Mungu wao, maandamano yanayofanywa kila Sunday kwa Gwajima hayana tija na wakiachwa wakasali haina madhara makubwa maandamano yanaharibu...
Wakati Tanzania ikiendelea kujigamba kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi, takwimu haziungi mkono propaganda hiyo. Hii hapa ni grafu inayoonesha wazi takwimu kutoka mwaka 1995 hadi 2020...
Unajua kitu kimoja ni kwamba kuna mambo na hisia ambayo yanakutambulisha wewe ni mtu wa namna gani. Kuna vitu ambavyo vitakutambulisha wewe kuwa mtu mstaarabu au mwenye roho mbaya ya kishetani...
Hii ni hatari misaada ikisitishwa itakuwa ni Kilio na kusaga meno.
Hatua iyo ya Amsterdams ni kutokana na ukandamizwaji wa haki za binadamu, na jaribio la kumuwekea sumu Tundu Lissu.
Mto wa Mbu...
Hello guys,
It's supercalifragilisticexpialidocious on our current political trends not only that but it's flabbergasted, lambasted & distressed.
Niende kwenye Mada baada ya kutoa sumu kupitia...
Kwa yanayoendelea naona kabisa Kuwa CCM imeamua kuwa Mungu. Kauli za Viongozi wa CCM Zinaleta sintofahamu, wanaongea Kauli za uchochezi na zinazoweza leta Mgongano, CCM inaongea as if Rais wa...
Jana ikageuka sehemu ya kampeni. Hadi tukasikia kauli za kukata vichwa watu. Daaa! Hii nchi inaongozwa kisela sana.
Kale kale kajamaa kalikohubiri tusichanganye dini na siasa Jana kalikuwepo...
- Kwenye ukristo manyanyaso hasa ya watawala huibua hisia kali za Imani. Waumini huamini shetani yupo kazin kuwatenganisha na Mungu wao.
- Huko kwenye Bible kuna verse zinazo sisitiza waumini...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Jeshi la Umoja wa Visiwa vya Comoro alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bergamo Moroni leo...
Mtia nia amekwenda ofisini kwake na kumpa rushwa ya Sh. 5,000,000/= live, kwa nini hakuwaita TAKUKURU wamkamate? Je ni moja ya sera za CCM kulindana?
Soma Pia: RC- Chacha Agomea Millioni 5 za...
NIKIWA RAIS WA TANZANIA HADUMA YA MAJI ITAKUWA YA UHAKIKA
Hakutakuwa na mgao wa maji hili linawezekana mbona nchi nyingine wameweza hata sisi tunaweza
Wananchi wa mjini na vijijini hawatakuwa na...
Kati ya RASHID MFAUME KAWAWA na EDWARD MORINGE SOKOINE ni nani hasa alikua na utumishi na uzalendo uliotukuka kwa taifa la Tanzania
Nasubiria majibu WAUNGWNA
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema chama chake kimeamua kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba ili kutetea na kulinda demokrasia nchini, akisisitiza kuwa ni haki ya kila mwananchi...
Askofu Maximiliani Machumu (Mwanamapinduzi) wa Kanisa la Ufufuo na Uzima anasema kwamba kapata taarifa, kuna watu wametumwa kuja kumpiga risasi akiwa kanisani akipanda gari.
Amesema yeye haogopi...
Askofu Dr Mtetemela amesema kwa kadiri unavyomhifadhi adui yako moyoni mwako ndio unazidi kujitesa na maadui huwa hawaishi Kwahiyo utakuwa unawaongeza tu na Unaweza kujiua bila kujua
Uadilifu ni...
Askofu Dr Mtetemela amesema Kanisa limejikita kwenye miradi na vitu vya anasa badala ya kuhubiri Injili kwa Watu wote
Kanisa linahubiri miujiza ya kupata Mali na Vyeo badala ya kuwafanya Watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.