Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baadhi ya wananchi katika Jimbo la Arusha Mjini wameeeleza nia yao ya kumuona Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake, Mrisho Gambo akirejea tena katika jimbo hilo kwa kipindi cha mwaka 2025-...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
  • Closed
Wakuu nileo tena. Napatwa na ukakasi nikisikiliza na kuangalia hawa mashekh wanapotoa maneno yao hususani kwenye kutumika kwao na watawala. Nimejiuliza hawa wenzetu wana fikra kama.za ma padree...
34 Reactions
103 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa Sheria-Political Service Retirement Benefits ya 2020. Waziri Mkuu Mstaafu anapata stahiki zifuatazo, **Mbali na pensheni na gratuity baada Tu ya kuachia ofisi. Mengineyo 1...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Kama taifa unajiuliza tumefikaje hapa. Ukiangalia Ata majirani zetu Kenya na Uganda mwaka wa uchaguzi unakuwa na hamsha hamsha kweli kweli, political will ya raia inakuwa kubwa kweli...
0 Reactions
10 Replies
719 Views
Maafisa usafiri almaarufu madereva wa bodaboda mtandaoni walia kuwa uwanja wa Kimataifa wa Ndege jijini Dar es Salaam una eneo kubwa hivyo nao waruhusiwe kuingia...
1 Reactions
6 Replies
443 Views
Mwamba apewe kazi ya kuibadili PCCB kiufanisi kama hatujafanya uchaguzi Mkuu upya kila baada mwezi. Ufanisi utavuka 100%
3 Reactions
14 Replies
876 Views
Wakati vijana wa Kenya wakipambana kujinasua na makucha ta wanasiasa vijana wa kwetu wakiongozwa na Lucas Mwashambwa wao wamegeuka kuwa chawa wa mama! Hii ni aibu kwa vijana wetu! Unafika mahali...
0 Reactions
2 Replies
256 Views
Naomba kujua, chama cha ubwa bado kipo barabarani na nyomi lake au kimepumzika kwanza? Sijakiona mitandaoni kwa muda sasa.
3 Reactions
14 Replies
541 Views
Kwa miezi ya Julai na Agosti 2025, Dunia inatarajiwa kuzunguka kwa kasi zaidi, na kusababisha siku kuwa fupi kidogo. Hasa, siku tatu zinatarajiwa kuwa fupi zaidi: Julai 9, Julai 22, na Agosti 5...
1 Reactions
8 Replies
768 Views
Wananchi mbalimbali wa Kitongoji cha Mtukura - Iriba, Kijiji cha Isenyi, Kata ya Nyakasasa wakielezea jinsi maboresho ya miundombinu yalivyokuwa na faida kwao kwa kuwa ni changamoto ambayo imekuwa...
0 Reactions
1 Replies
293 Views
Nape: Niombee kwa Mama nami nirudi kwenye cabinet?? Makonda: Tatizo unajifanya mjuaji sana, Magu alikusamehe na Maza kakupa nafasi ya 2 lakini ukaanza usaliti na Februari
10 Reactions
62 Replies
4K Views
Habari mpya ndio hiyo kila mtu anakaribiahwa siku ya tarehe 5.7.2025 wahi bila Kukosa kwani Kitakuwa na watu wa Mataifa mengi.
10 Reactions
97 Replies
6K Views
Ni kweli kwamba haijawahi kukatazwa Wanasiasa kuingia kwenye nyumba za Ibada kwa malengo ya kuabudu, Na wakati mwingine Wanasiasa hao hualikwa kwa ajili ya Mambo Maalum yakiwemo Makongamano...
21 Reactions
90 Replies
4K Views
Ikumbukwe hawa vijana wadogo watatu Mwigulu, January na Kigwangalla waligombea urais 2015 japo safari yao iliishia kwenye kura za maoni. Niliwapa jina la Three the Hard Way. Safari inaendelea...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Wanabodi, Hii ni kama barua ya wazi kwa mkuu mpya wa jeshi letu la Polisi, IGP, Kamanda Simon Sirro, kutoka kwa raia mwema, anayemtakia mafanikio mema katika majukumu yake kama IGP mpya...
13 Reactions
63 Replies
10K Views
Siku ya leo, Rais Samia kazindua rasmi hema (jengo?) la kanisa la Rise and shine (Kanisa la Mwamposa) kwenye viwanja vilivyokuwepo kiwanda cha Tanganyika Packers. Imeelezwa jengo (hema) hilo lina...
29 Reactions
159 Replies
6K Views
Ni kweli mwanzo kabisa mwa uongozi wake alotoa hotuba kali sana pale Bungeni, tukadhani hotuba hiyo ni kuwagusa wala rushwa, wahujumu uchumi hata wezi wa raslimali za nchi tu ,kumbe tulifikiria...
57 Reactions
126 Replies
14K Views
Namshangaa yeyote anayejinasibu kukuza uchumi wakati bado hali ya Watanzania waliowengi ni maskini hawana uwezo wa kununua hata mahitaji muhimu. PPP ya Tanzania inazidiwa na Kenya, Rwanda, Uganda...
13 Reactions
37 Replies
3K Views
Chadema ambacho ndio Chama Kikubwa cha kisiasa Nchini Tanzania (Wanachama mil 18) kimetangaza kwa Herufi kubwa kwamba Hakutakuwa na Uchaguzi bila Reforms, na hakikuishia hapo, kimesema kama...
5 Reactions
25 Replies
964 Views
Back
Top Bottom