Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia mafuriko makubwa yaliyoyakumba maeneo ya kati mwa jimbo la Texas, Marekani, imefikia watu 78, wakiwemo watoto 28. Taarifa hiyo imetolewa na maafisa wa...
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU KAULI ZA UCHOCHEZI ZILIZOTOLEWA KWENYE UZINDUZI WA KANISA LA "ARISE AND SHINE" SIKU YA TAREHE IJUMAA TAREHE 5 JULAI 2025.
Chadema tunalaani vikali kauli za kichochezi na...
Naibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Taifa, Shangwe Ayo amesema "Tunajua mmejazwa woga! Na huu woga ndio mtaji wa CCM na Serikali. Sasa niwaambie Wanashinyanga, woga haujawahi kuleta matunda kwa yeyote."
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, ametoa kauli kali akilaani kile alichokiita matumizi mabaya ya vyombo vya usalama na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika chaguzi zilizopita.
Akihutubia...
Mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zinazidi kushika kasi. Ni uchaguzi ambao Watanzania watamchagua rais wa Jamhuri ya Muugano, wabunge, madiwani na upande wa Zanzibar, watachagua rais...
Israel inasema imeanzisha mashambulizi kwenye bandari tatu na kiwanda cha nguvu za umeme katika maeneo yanayodhibitiwa na Wahouthi ya Yemen.
Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz alithibitisha...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimetoa ufafanuzi kuhusu madai yanayomkabili aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mbureni, Faraja Maliaki, ambaye hivi karibuni ilisambaa video kwenye mitandao...
Katika shamrashamra za maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika jijini Stockholm, Sweden, mgeni rasmi, Mhe. Nyamko Sabuni, Waziri wa zamani wa Usawa na Jinsia nchini Sweden...
Mara baada ya ukimya wa muda mrefu, Freeman Mbowe — aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) — ameibukia kanisani kwa Mchungaji Kimaro katika Kanisa la KKKT Kijitonyama...
Jamani jamiiforum ni kisima cha maarifa. Japokuwa mm hutoa comments za mizaa kwa wingi lkn kuna vitu naviokota humu.
Ktk moja ya nyuzi zinazoongelea kesi ya uhaini ya bw. Lisu kuna mdau katoa...
Mchungaji Matsahi wa KKKT Kimara ameonya wale wote wanaoshabikia KUKINUKISHA waachane na huo ujinga kwa jina la Yesu Kristo
Matsahi amesema yeye alikuwa nchini Israel Juzi wakati waarabu...
Wizi wa Kura una maana pana hivyo mwanasiasa anapoogopa kuibiwa Kura huyo hana akili sawa sawa
Wizi mkubwa wa Kura unafanywa kwenye Kampeni ambapo Wapiga Kura wanadanganywa na kupewa ahadi za...
Gavana mstaafu wa Nairobi Mh Sonko amesema amechoshwa na Vurugu na mauaji na yuko mbioni kuhamia kisiwa cha Amani Tanzania
Sonko amesema Juzi tu ametoka kununua Jeneza la kumzikia Boniface...
Ndugu Watanzania, hususan Wakristo Wakatoliki, salaam za haki, amani, upendo na uadilifu kwenu.
Awali ya yote, napenda kusema kuwa sisi Watanzania hatukufunzwa wala kulelewa tangu utotoni kuelewa...
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), kupitia mwenyekiti wake mpya, Askofu Dkt. Stanley Hotay, imetoa tamko kali kulaani vitendo vya utekaji na watu kupotea ambavyo vimeendelea kushamiri katika...
Ilikuwa hivi, tarehe 12 January, wazalendo wa Zanzibar, karibu wote weusi, walichukua silaha za jadi na kuteka ghala la silaha kisha kfanya mapinduzi kuuondoa utawala wa Kiarabu visiwani. Wakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.