Shughuli imeisha tayari, si umeona covid 19 wametimkia CCM karibia wote? Hao ndo walikuwa wanasubiriwa ubwabwani ila nao wamesoma uelekeo wa upepo wakaona hakuna shughuli kule. Kifupi UBWABWA ni dead projectNaomba kujua, chama cha ubwa bado kipo barabarani na nyomi lake au kimepumzika kwanza?
Sijakiona mitandaoni kwa muda sasa.
Utakuwa una njaa au umekumbuka arobaini ya "maliyemu"!🫸🫷😝😝😝😝Naomba kujua, chama cha ubwa bado kipo barabarani na nyomi lake au kimepumzika kwanza?
Sijakiona mitandaoni kwa muda sasa.
Wembo kawatapeli shwaaaaaaa asubuhi kweupe hawaamini tunasubiri confession zakutosha baada ya reformsNaomba kujua, chama cha ubwa bado kipo barabarani na nyomi lake au kimepumzika kwanza?
Sijakiona mitandaoni kwa muda sasa.
Ati unamtegemea kigaila awe mtu wa mipango?Naomba kujua, chama cha ubwa bado kipo barabarani na nyomi lake au kimepumzika kwanza?
Sijakiona mitandaoni kwa muda sasa.
Hapo sawa, Babu wa ubwabwa atakuwa Waziri wa nini vile?Tunaandaa safu ya mawaziri baada ya kuchukua dola hapo baadae Octoba 😎
Siri ya kambiHapo sawa, Babu wa ubwabwa atakuwa Waziri wa nini vile?
Ndiyo kusema No reforms No election imewapasua vipande vipande?Ati unamtegemea kigaila awe mtu wa mipango?
Ati unamtegemea John mrema awe mtengeneza mipango?
Thubutu labda ya VICOBA na siyo chama cha siasa tena wakati huu???
Mungu huwa hadhihakiwi.Shughuli imeisha tayari, si umeona covid 19 wametimkia CCM karibia wote? Hao ndo walikuwa wanasubiriwa ubwabwani ila nao wamesoma uelekeo wa upepo wakaona hakuna shughuli kule. Kifupi UBWABWA ni dead project