Wanabodi,
Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo la kuchanganya Lugha
JF ilipoanzishwa, it was meant to be an online user generated social forum, mtu una post chochote, kwa lugha yoyote ya...
Tarehe 29 Oktoba 2026 itatimiza mwaka mmoja tangu Uchaguzi Mkuu wa 2025, ambapo Watanzania walipiga kura kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani.
Lakini mwaka mmoja...
Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha...
gdp per capital income, >95% black countries (ukiondoa visiwa kama Shelisheli na Mauritius) are the richest in afrika, na ilipaswa kuwa hivyo,
Botswana: 8,490 usd
Namibia: 5,570 usd
richer than...
Alitokea DRC, akaja Uganda the akachukua flight to Nairobi . Alipelekwa kwenye isolation Center at Nairobi hospital ambapo amekufa usiku wa leo.
My take:
Badala ya Marais wote wa East Africa...
Hilo ndilo swali la msingi
1. Je Raisi anataka kukumbukwa maisha kwa kujenga mifumo na kutupa katiba bora Tanzania
2. Atasahaulika kwa kuiba kura na kugushi uchaguzi na kujipa 80% ya ushindi...
Kauli ya Waziri wa Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Profesa Palamagamba Kabudi, kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amevipa vyama vya siasa nafasi sawa, inafungua mjadala kuhusu maana ya usawa...
Watanzania hawajui wanataka nini yaani hawana malengo. Narudia tena ikiwa jambo kubwa lililopo mbele yetu ni kumtoa LISU je baada ya kumtoa mpo tayari kuridhiana ili tujenge nchi moja? Au mtakuwa...
Kwanza kabisa sikubaliani na watu wanaosambaza uzushi wa aina yoyote ikiwemo kuwalisha watu maneno kwa njia yoyote ile, ila pia nadhani Gwajima alitakiwa kukanusha uzushi kwa maneno mafupi sana...
Jana kwenye mkutano wa baraza la vyama 18, Prof. Kabudi kasema mfumo wa vyama vingi si uadui wala uasama. Sasa kama mfumo wa vyama vingi si uasama yeye atuambie:
1: Kwa nini wao kama ccm na polisi...
DMO wa Kaliua, umejitahidi sana kuwa karibu na watumishi, lakini changamoto kubwa hasa katika hospitali ya wilaya, unajua kabisa watumishi hawamtaki Patron wa Hospitali kwa sababu ya kauli mbovu...
Kuna shauri la kikatiba alifungua Zitto Zuberi kabwe akipinga kuondolewa kwa Professor Asad katika nafasi yake ya CAG. Mahakama ya Rufani iliyokaa na Majaji watano (5) likiongozwa na Jaji wa...
SERIKALI; MZAZI ANAYETAKA
NA KUDAI MATUNZO YA MTOTO ASIKAE NA MTOTO. FULL STOP!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hii iwe kwa Mzazi wa kike au wakiume. Yaani Baba au Mama.
Huruma sio malezi...
Kwenye nyuzi zangu kumeibuka watu wananikasirikia eti nikisema nikiwa Rais wa Tanzani unajua kuna watu wanavituko sana
Katiba ya Tanzania haijamkataza mtu kuwa na nia ya kuwa Rais wa Tanzania...
Awamu ile nyingine hadithi na porojo zilikuwa nyingi sana kuhusu viwanda, ila wakaishia kuaibika kwa kusema vyerehani na vijiwe vya uchomeleaji ni viwanda.
Hilo halipo awamu ya 6, ni maneno na...
Heche ametueleza kuwa kipindi cha utumwa huko America kulikuwa na two categories of slaves moja House negro na field negro na ameeleza kuwa house nogro walikuwa wala makombo ya mabossi wao kisa...