Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wasalaam! Ni ukweli usiopingika CHADEMA na wafuasi wao wamekuwa wakishikwa na butwaa baada ya kuona serikali na chama cha mapinduzi kimekaa kimya pamoja na kulazimisha kujibiwa! CHADEMA wamekuwa...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Habari zenu waungwana. Naomba kuulizia kuhusu watia nia wa Chama cha Wananchi CUF. Sijasikia taarifa yoyote kutoka katika vyombo vya habari kuhusu wachukua fomu za Urais, Ubunge, Uwakilishi na...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
UTEKAJI UMERUDI NCHINI TAARIFA KWA UMMA TUMECHOSHWA NA UNYAMA HUU Chama cha ACT-Wazalendo kimepokea kwa mshutuko taarifa za kuvamiwa, kutekwa akiwa nyumbani kwake na baadaye kupelekwa...
14 Reactions
125 Replies
15K Views
Inafahamika kuwa nchi yetu imekuwa chini ya CCM tangu ipate Uhuru takilibani miaka 60 Sasa. Hivyo Kama Kuna mabaya au mazuri pongezi au lawama zozote Ni kwa CCM na sio kwa kiongozi wa awamu...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwa hali inavyoendelea na mapokezi aliyopata Maalim Seif Zanzibar uchanguzi kwa upande wa Zanzibar unaonekana utakuwa mugumu kwa CCM na Hussein Mwinyi. Kwa siasa za Zanzibar Kuna uwezekano...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu, Siku ni njema na mambo sio mazuri kwa kiasi chake. Kwakweli nitafurahi sana huyu mwanamama wa Mbeya akishindwa uchaguzi huu wa October, hana mvuto wa kisiasa kabisa, binafsi...
29 Reactions
79 Replies
7K Views
Jamani habari ya mjini ndiyo hiyo. Tangu uchaguzi wa 1995 viongozi wa Dini wamekuwa waangalizi wa uchaguzi mkuu. Lakini uchaguzi wa mwaka huu Tume imeamua viongozi wa Dini wasishirikishwe...
8 Reactions
46 Replies
5K Views
Magufuli angeanza kufungasha vilago kuondoka Ikulu mapema hawezi kupambana na Lissu kwenye sanduku la kura atapata aibu kubwa. Watanzania sio wajinga waliekuwa wakimsubiri kwa muda mrefu ndio...
30 Reactions
55 Replies
5K Views
Baadhi ya wagombea Ubunge wa Kura za Maoni CCM katika jimbo la Arusha mjini wamefichua mazito siri ya Ushindi wa mgombea mwenzao Mrisho Gambo aliyepata kura 333 na kufuatiwa na Philemon Mollel...
7 Reactions
45 Replies
8K Views
Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika. Je, huu ni...
10 Reactions
79 Replies
7K Views
Amani iwe nanyi wadau na kwa wakazi wa Dar poleni na Tetemeko Niende kwenye mada! Ni ukweli ulio wazi kuwa John Pombe Magufuli hawezi shinda uchaguzi wa mwaka huu na hizi ndizo sababu 1. Kuna...
84 Reactions
277 Replies
17K Views
Watu wanasema nafanya kampeni mapema. Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini, inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati. Na kama wakisema hii ni kampeni kabla ya wakati, basi...
50 Reactions
146 Replies
11K Views
Hatimaye mteule wa kupeperusha bendera ya Urais kupitia chama cha Chadema, anatia huruma; hana hoja ya msingi ana ropoka ropoka hovyo njiani akidhani atapata kura za huruma- PUMZI IMEKATA...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Hello bosses, Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni aibu kuona wanavyuo wengi wanahitimu wakati bado wengine wengi wako mitaani bila kazi au wanafanya kazi za chini sana ambazo hata...
1 Reactions
0 Replies
617 Views
Habari kutoka ndani ya chama jimbo la Kibamba zinasema mbunge wa sasa wa Kibamba Mheshimiwa John John Mnyika ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA mpaka muda wa kuchukua fomu unaisha alikuwa...
1 Reactions
119 Replies
14K Views
Hapa ntajikita kujadili mambo ya (EI) yaani emotional intelligence. Bila shaka kila mtu atakubali kwamba Rais wetu ana tatizo la emotional intelligence, hivyo kusababisha kuonesha hisia zake hata...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Mara nyingi nimekua nikisema kuwa sisi wana CCM tumekua waoga sana wa kuusema ukweli, ipo siku tutakua kwa aibu maana tukiendelea kutegemea Polisi kama alivyowahi kutuambia Rais mstaafu awamu ya 4...
14 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu salaam, Kuuliza sio ujinga, ningependa kufahamu ni kwanini mgombea huyu hajishughulishi kutafuta wadhamini ilhali siku zinaelekea ukingoni?
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom