Uchaguzi 2020 Moyo wangu utafurahi sana huyu Mwanamama akishindwa Oktoba

Lagrange

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
2,256
2,572
Habari wakuu,

Siku ni njema na mambo sio mazuri kwa kiasi chake.

Kwakweli nitafurahi sana huyu mwanamama wa Mbeya akishindwa uchaguzi huu wa October, hana mvuto wa kisiasa kabisa, binafsi simpendi na namuombea mabaya.

Hivi virushwa anavyotoa kwa akina mama mpaka amefungua ofisi njia panda, mara vitamasha na ligi uchwara ni kutafuta tu malisho mazuri zaidi, hakuna lolote.

Niliumia sana mwaka 2019 alipopewa nafasi ya kuwasemea wana Mbeya akati yeye sio mbunge wa eneo husika, na mbaya zaidi mbunge husukia alikuwepo.

Nitafurahi sana akining'inizwa October.
 
Tulia atashindwa , huyo sugu anataka kurudi bungeni amalizie kulipa mkopo wa mil 700 alichukua kujenga hotel desderia, nyie mnajua anataka kuwasaidia. Tulia atawasaidia vizuri kwakuwa yupo karibu na Mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom