Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Watu wanasema nafanya kampeni mapema. Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini, inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati. Na kama wakisema hii ni kampeni kabla ya wakati, basi wasisahau kuwa Rais Magufuli amekuwa anafanya kampeni kwa miaka mi5 sasa.
 
Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!

Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.

Sasa atapambanaje na mtu bila kumtaja kwenye Siasa mnataka kumpangia cha kusema ati bora kule sijui nini kama humuelewi si utamnyima tu kura unamia nini wengine wanapenda hivo anavofanya na watamchagua.
 
117195765_3213508722074131_2911542144163865371_n.jpg
 
Watu wanasema nafanya kampeni mapema. Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini, inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati. Na kama wakisema hii ni kampeni kabla ya wakati, basi wasisahau kuwa Rais Magufuli amekuwa anafanya kampeni kwa miaka mi5 sasa-Tundu Lissu.
Kwa hiyo anapiga kampeni au anatafuta wadhamini?? CCM haina haja ya kampeni, maana Mambo aliyoyafanya Jpm ni kampeni tosha.
 
Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!

Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Amerudi nchini kakuta kila TV station, magazeti, radio na kila mahali watu wanamtaja Magufuli.

Sasa kuna nongwa gani kwa Lissu naye kuwaunga mkono aliowakuta katika kulitaja hilo jina la "mtukufu yesu"??
 
Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!

Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Huku moyoni unaumia
 
Back
Top Bottom