Uchaguzi 2020 Tundu Lissu is Real Man!! Real opposition candidate in Tanzania history

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,842
Magufuli angeanza kufungasha vilago kuondoka Ikulu mapema hawezi kupambana na Lissu kwenye sanduku la kura atapata aibu kubwa.

Watanzania sio wajinga waliekuwa wakimsubiri kwa muda mrefu ndio kaja sasa miaka mingi tuliitaji mgombea mwenye ushawishi na anayetoka kwenye pure opposition political party na sasa kapatikana.

Njia pekee ya kumzuia Lissu ilikuwa kama alivyofanywa mwaka 2017 ikashindikana sasa hakuna njia nyingine ya kumzuia .


Napokea simu kutoka Kila Kona ya Tanzania pia napata kutembea nchii hii Kila siku Lissu toka amerudi kabadilisha kabisa upepo was siasa za Tanzania.

Hakuna njia ya kumzuia Lissu naapa kuhama Tanzania kama Lissu atashindwa kwa sanduku la kula na Magufuli msione watanzania wamenyamaza Hali ni tete Sana wataishangaza dunia mwaka huu.

Lissu anaenda kuivunja vunja kabisa CCM .

Navishukuru vyombo vya Dolla kwa kuanza kusoma halama za wakati mwende hivyo hivyo mpaka mshindi halali atangazwe.
 
..hakumaliza Uraisi wa TLS kutokana na tukio la kupigwa risasi.

..ila kuna mradi wa jengo la TLS aliuanzisha umekuja kuisha wakati wa Uraisi wa Dr.Rugemeleza Nshala.
huo aliukuta fuatilia historia ya ujenzi wake
 
Amini amini nakwambia ndugu, CCM kinaenda kuwa Chama pinzani baada ya uchaguzi wa October 2020.

Hakuna njia Magufuli atamshinda Lissu mwaka huu. Narudia tena na tena, hakuna namna Magufuli atamshinda Lissu mwaka huu!

Acha ujinga wewe mtoto. Magufuli hana haja ya kufanya kampeni. Lissu atashinda kwa kura za JF tu. Kuna mgombea alikuwa gari lake linasukumwa km 10 hakushinda, mwinge watu walipiga deki barabara ili apite lakina hakushinda sembuse Lissu ambaye jina lake halifi hata Chalinze. Tujikumbushe
9dce4914-95ba-4b6a-915d-e9fbeca098c1.jpg
 
CCM watapata aibu ya karne huu utakuwa uchaguzi wa kihistoria. Hata ubunge watapigwa kipigo cha mbwa koko
 
Hii ndio JF bwana kila mtu anaandika kinachomjia akilini alimradi tu nafsi ifarijike.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom