Uchaguzi 2020 Pumzi imekata, asaidiwe kabla hajajitoa mwenyewe, ni Membe tu ndiye ataokoa jahazi

OTTER

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
476
331
Hatimaye mteule wa kupeperusha bendera ya Urais kupitia chama cha Chadema, anatia huruma; hana hoja ya msingi ana ropoka ropoka hovyo njiani akidhani atapata kura za huruma- PUMZI IMEKATA.

Watanzania kwa sasa siyo wale wa miaka ile, na kibaya zaidi wale wote wanaokuja kumuona siyo wapiga kura ni mashabiki tu wanakuja kumuona yule msaliti ambaye alikuwa akisema Serikali yetu itashitakiwa MIGA, ihali akijua ni uongo ili aendelee kushirikiana na mabeberu wachote maliasili zetu.

Bado siku chache kipenga kipulizwe cha kuzunguka nchi nzima, Chadema mumshauri jamaa yenu kuwa mtu pekee anaye weza kuwaombea kura za wabunge ni Mh. Membe wa ACT.

Huyo kweli purukushani za majukwaani anaziweza za kata kwa kata, jimbo kwa jimbo, mkoa kwa mkoa, unganeni mtoe jina moja na chama kiitwe CHADACT.

Mumsaidie asije akaishia njiani, natakiwa kupumzika ili aijenge afya yake. Madakari wake walimshauri lakini yeye kwa vile ameshahakikishiwa na mabeberu kuwa iwe jua iwe mvua lazima achukue nchi ameona ushauri wa madakari wake ni wa kipuuzi.

ASAIDIWE KWA USHAURI AJITOE KABLA YA KIPENGA, MFANYA MAAMUZI SAHIHI YA KUKAMBIDHI BENDERA MH MEMBE AOKOE JAHAZI KABLA HALIJAZAMA- PUMZI IMEKATA
 
😂😂😂😂😂😂 Wizara ya afya tafadhali na nyie muwe mnaweka utaratibu kipindi Kama hiki madaktari na manesi muwe Karibu na watu flani flani. Hali zao sio nzuri sana. Msione hivi mbwa wanapiga kelele kupita kiasi za maumivu mnadhani mwenye Hawa mbwa yuko salama. Kabisa nawaambia
 
Meko atatapika damu mwaka huu.
tapatalk_1597311675640.jpeg
 
Hatimaye mteule wa kupeperusha bendera ya Urais kupitia chama cha Chadema, anatia huruma; hana hoja ya msingi ana ropoka ropoka hovyo njiani akidhani atapata kura za huruma- PUMZI IMEKATA.

Watanzania kwa sasa siyo wale wa miaka ile, na kibaya zaidi wale wote wanaokuja kumuona siyo wapiga kura ni mashabiki tu wanakuja kumuona yule msaliti ambaye alikuwa akisema Serikali yetu itashitakiwa MIGA, ihali akijua ni uongo ili aendelee kushirikiana na mabeberu wachote maliasili zetu.

Bado siku chache kipenga kipulizwe cha kuzunguka nchi nzima, Chadema mumshauri jamaa yenu kuwa mtu pekee anaye weza kuwaombea kura za wabunge ni Mh. Membe wa ACT.

Huyo kweli purukushani za majukwaani anaziweza za kata kwa kata, jimbo kwa jimbo, mkoa kwa mkoa, unganeni mtoe jina moja na chama kiitwe CHADACT.

Mumsaidie asije akaishia njiani, natakiwa kupumzika ili aijenge afya yake. Madakari wake walimshauri lakini yeye kwa vile ameshahakikishiwa na mabeberu kuwa iwe jua iwe mvua lazima achukue nchi ameona ushauri wa madakari wake ni wa kipuuzi.

ASAIDIWE KWA USHAURI AJITOE KABLA YA KIPENGA, MFANYA MAAMUZI SAHIHI YA KUKAMBIDHI BENDERA MH MEMBE AOKOE JAHAZI KABLA HALIJAZAMA- PUMZI IMEKATA
Bado hujaona siasa tulia sasa anafanya mazoezi tu.
 
Maombi ya watanzania Mungu alishayajibu kwa kumleta mpambanaji #2020 NI YEYE YULE TUNDU WENGINE WOTE Ni wapikwa kura mtaisoma namba maana ni yeye yule 😂
😂

Mbona mnashambulia misafara yake na kuchoma ofisi zao Kama watz wanajielewa.Jiandaeni kwenda kufuga kuku,the Hague inawasubirieni.
 
Unawashwa eeeeh....!! Muda wa kuanza kampeni bado wewe unataka aanze kampeni ili afungiwe.

Acha ujinga
 
Hatimaye mteule wa kupeperusha bendera ya Urais kupitia chama cha Chadema, anatia huruma; hana hoja ya msingi ana ropoka ropoka hovyo njiani akidhani atapata kura za huruma- PUMZI IMEKATA.

Watanzania kwa sasa siyo wale wa miaka ile, na kibaya zaidi wale wote wanaokuja kumuona siyo wapiga kura ni mashabiki tu wanakuja kumuona yule msaliti ambaye alikuwa akisema Serikali yetu itashitakiwa MIGA, ihali akijua ni uongo ili aendelee kushirikiana na mabeberu wachote maliasili zetu.

Bado siku chache kipenga kipulizwe cha kuzunguka nchi nzima, Chadema mumshauri jamaa yenu kuwa mtu pekee anaye weza kuwaombea kura za wabunge ni Mh. Membe wa ACT.

Huyo kweli purukushani za majukwaani anaziweza za kata kwa kata, jimbo kwa jimbo, mkoa kwa mkoa, unganeni mtoe jina moja na chama kiitwe CHADACT.

Mumsaidie asije akaishia njiani, natakiwa kupumzika ili aijenge afya yake. Madakari wake walimshauri lakini yeye kwa vile ameshahakikishiwa na mabeberu kuwa iwe jua iwe mvua lazima achukue nchi ameona ushauri wa madakari wake ni wa kipuuzi.

ASAIDIWE KWA USHAURI AJITOE KABLA YA KIPENGA, MFANYA MAAMUZI SAHIHI YA KUKAMBIDHI BENDERA MH MEMBE AOKOE JAHAZI KABLA HALIJAZAMA- PUMZI IMEKATA
Sasa hivi wameanza visingizio baada ya kuona hali imekuwa ngumu kabla ya uchaguzi.
 
Kwa hiyo unamaanisha Membe atashinda Kama akichuana na Magufuli?

Kwamba unawapa upinzani mbinu za kumshinda Magufuli?

Lini umeanza kufurahia anguko la Magufuli!?

Kweli naanza kuamini huenda Membe Yuko upinzani Kimkakati.
 
Back
Top Bottom