Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa wake wanaodhani kuwa kudhibiti vyombo vya habari kuripoti habari za wapinzani kutawasaidia, wajue tu wanajidanganya kwani hivi sasa watanzania wengi wanamiliki smartphone hasa maeneo ya...
10 Reactions
70 Replies
5K Views
Mbowe akiwasili Same magharibi mapema leo. Tundu Lissu akiwa jimboni Same magharibi amepata wadhamini 6893. Safari inaendelea. Ninachukua helicopter chap kuwahi uwanja wa UHURU kuleta updates...
36 Reactions
58 Replies
7K Views
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Ni wazi kuwa kama nchi hapa tulipo tukielekea Oct. 28 hatuko vizuri. Kwamba tunawagombea ambao wamejizatiti vilivyo kutokukubali...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa, huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote...
73 Reactions
130 Replies
15K Views
Leo Mgombea uraisi wa CHADEMA, Tundu Lissu baada ya kufanikiwa kupata zaidi ya wadhamini 6000 huko Same, Leo alipita Muheza mkoani Tanga. Kama kawaida akaendelea kugawa dozi ya elimu ya mambo ya...
47 Reactions
105 Replies
10K Views
TULINGANISHE SERA ZA MAGUFULI, LISU NA MEMBE: Tukielekea kwenye uchaguzi tumeanza kuona washabiki wakibezana na kuhoji sera za washindani wao. Wapo waliomwambia Lisu kuwa yeye ni kutukana tuu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Majina ya waliopitishwa kugombea ubunge ACT Wazalendo
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Ndugu zangu, Huku site chuya na mchele zimeanza kujichuja kwani ni dhahiri sana Tundu Lissu anakwenda kuiangusha Chadema kwa kupoteza majimbo na kata ambazo Lowassa alishinda akiwa mgombea urais...
11 Reactions
64 Replies
5K Views
Tundu Lissu alijua kuwa atashinda Urais alimchukulia poa Rais Magufuli, alipokuwa akisoma comments za twitter akaona tayari ameshashinda. Hali halisi ameiona mitaani, alikuwa ameisahau CCM kuwa...
46 Reactions
78 Replies
7K Views
Mchakato wa kupata tiketi ya kugombea Urais ni kwamba unatakiwa upitishwe na chama na baada ya kupitishwa na chama unaenda kutafuta wadhamini katika mikoa ya Tanzania bara na visiwani Zanzibar...
5 Reactions
92 Replies
6K Views
Unapomwambia PM kwamba Usalama wa taifa ubaki huko huko DSM kwamba ninyi mna vikosi vyenu una maana gani? Hivi sheria ya vyama vya si inazuia kua na vikosi vya ulinzi? Huu sasa ni sawa na...
3 Reactions
42 Replies
6K Views
Nakumbuka wakati nafanya kwenye NGO moja ni International ilikuwa akija Mgeni yaani wafadhiri wa mradi tulikuwa haturuhusiwi sisi staff kuongelea tulicho kifanya bali wale wanufaika ndo pekee...
21 Reactions
39 Replies
3K Views
Nauliza NEC. Ni swali gumu linaloweza kuleta TAFRANI. JE WATATUMIWA WATUMISHI HAWAHAWA!? Yaani hawahawa licha ya walivyotendwa miaka hii mitano!? Watumishi(WALIMU)... Mtafanya kazi hiyo...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Leo tarehe 15/08/2020 Mheshimiwa John Heche Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini anaemaliza muda wake, amechukuwa fomu ili kulitetea tena Jimbo hilo. Binafsi naona kama huyu ndiye Mbunge wa...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Pale njiani Same, wananchi walijikusanya barabarani ili angalau wamsikilize shujaa Lissu. Katika hadhara hiyo pia akafanikiwa kukutana na mwalimu aliyemfundisha kwenye shule ya watoto wenye...
19 Reactions
23 Replies
3K Views
Habarini wanabodi, Kwanza naomba nitamke wazi kwamba mimi ni mwanaccm kindakindaki na nimepanga 2025 kuonana na wajumbe. Naomba niseme wazi kwamba ccm tulikosea kwenye vipaumbele vyetu...
38 Reactions
61 Replies
6K Views
Swali: Iwapo ikatokea Tume ya Uchaguzi ikamuengua mgombea Uraisi wa chama kimojawapo;je, mgombea husika anaweza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo na kuiomba mahakama isitishe mchakato wte wa...
15 Reactions
107 Replies
8K Views
Wakati vikao vya ngazi za juu ndani ya Ccm vikiendelea na mchakato wa kupitia majina taarifa za ndani zinaeleza kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Bw. Christopher Ole Sendeka ameanza...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Hawa ni wabeba maboksi wa huko Copenhagen, Denmark.
18 Reactions
107 Replies
8K Views
Ndugu wana bodi! Habari zenu! Nikiwa kijana mdogo ,mwaka 1995 ,baba wa Taifa mwalimu Nyerere ,wakati akitueleza umuhimu wa uchaguzi na kuchagua viongozi bora wa taifa hili,alituasa kuwa ,tuchague...
9 Reactions
191 Replies
13K Views
Back
Top Bottom