Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kupoteza majimbo na kata walizoshinda Lowassa na Slaa kwa CHADEMA

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Huku site chuya na mchele zimeanza kujichuja kwani ni dhahiri sana Tundu Lissu anakwenda kuiangusha Chadema kwa kupoteza majimbo na kata ambazo Lowassa alishinda akiwa mgombea urais mwaka 2015 na Dr. Slaa mwaka 2010

Fundisho lililopo hapa ni kuwa kejeli,lopolopo au dhihaka na ujuaji majukwaani.Lissu ameshindwa kukonga nyoyo za wapiga kura na badala yake amejikita kulalamika huku kauli mbiu yake ikiwa "Watanzania hawataki maendeleo ya vitu (miundombinu, umeme, maji, shule, hospitali nk).

Muda umekwisha kwani Chasema kwa sasa hawawezi kufanya mabadiliko ya mgombea urais. Kwa haraka haraka majimbo yanapotea mwaka huu ni pamoja na Karatu, Moshi, Arumeru Magharibi na Mashariki, Arusha Mjini, Moshi Mjini, Vijijini, Rombo, Ukerewe, Bunda Mjini, Tarime Mjini na Vijijini, Simanjiro, Monduli, Babati nk. Ikumbukwe majimbo haya yalipatikana kutokana na umahiri wa wagombea urais wa Chadema mwaka 2010 na 2015.

Zaidi, Tundu anakwenda kulikabidhi Jimbo lake la Ikungi CCM.

Tupinge kwa hoja.
 
Yaani CDM toka kupambana na kupinga UFISADI, mpaka kupinga maendeleo ya vitu ! Hivi mwenye hoja za kupinga na kutokomeza Ufisadi na kupinga maendeleo ya vitu yupi anaonekana wa maana ? Kiufupi lissu na Cdm yake wana jisumbua tu , kushinda uchaguzi huu ni ndoto!..
 
Ndugu zangu,

Huku site chuya na mchele zimeanza kujichuja kwani ni dhahiri sana Tundu Lissu anakwenda kuiangusha Chadema kwa kupoteza majimbo na kata ambazo Lowasa alishinda akiwa mgombea urais mwaka 2015 na Dr.Slaa mwaka 2010

Fundisho lililopo hapa ni kuwa kejeli,lopolopo au dhihaka na ujuaji majukwaani.Lissu ameshindwa kukonga nyoyo za wapiga kura na badala yake amejikita kulalamika huku kauli mbiu yake ikiwa "Watanzania hawataki maendeleo ya vitu (miundombinu,umeme,maji,shule,hospitali nk).

Muda umekwisha kwani Chasema kwa sasa hawawezi kufanya mabadiliko ya mgombea urais. Kwa haraka haraka majimbo yanapotea mwaka huu ni pamoja na Karatu,Moshi,Arumeru magharibi na mashariki,Arusha mjini,Moshi mjini,vijijini,Rombo,Ukerewe,Bunda mjini,Tarime mjini na vijijini,Simanjiro,Monduli,Babati nk.Ikumbukwe majimbo haya yalipatikana kutokana na umahiri wa wagombea urais wa Chadema mwaka 2010 na 2015.

Zaidi,Tundu anakwenda kulikabidhi Jimbo lake la Ikungi CCM.

Tupinge kwa hoja.
DJ mafuvuu
 
Mtaongea yote lakini maji yako shingoni kwa ccm!

Mlianza kwa kusema hatarudi nchini, Mara hatagombea, kwa sasa hatashinda sijui majimbo! Awamu hii mtaongea lugha zote

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
😃😃😃 pia kupitia kwa kamanda slo alisema akitua tu nchini anakamatwa na kupelekwa segelea cha kushangaza hawajamkamata hadi leo juzi alikuwa anabwabwaja kuwa tutampata tu....

Yaaani wataimba tu aleluhya..
 
Ndugu zangu,

Huku site chuya na mchele zimeanza kujichuja kwani ni dhahiri sana Tundu Lissu anakwenda kuiangusha Chadema kwa kupoteza majimbo na kata ambazo Lowasa alishinda akiwa mgombea urais mwaka 2015 na Dr.Slaa mwaka 2010

Fundisho lililopo hapa ni kuwa kejeli,lopolopo au dhihaka na ujuaji majukwaani.Lissu ameshindwa kukonga nyoyo za wapiga kura na badala yake amejikita kulalamika huku kauli mbiu yake ikiwa "Watanzania hawataki maendeleo ya vitu (miundombinu,umeme,maji,shule,hospitali nk).

Muda umekwisha kwani Chasema kwa sasa hawawezi kufanya mabadiliko ya mgombea urais. Kwa haraka haraka majimbo yanapotea mwaka huu ni pamoja na Karatu,Moshi,Arumeru magharibi na mashariki,Arusha mjini,Moshi mjini,vijijini,Rombo,Ukerewe,Bunda mjini,Tarime mjini na vijijini,Simanjiro,Monduli,Babati nk.Ikumbukwe majimbo haya yalipatikana kutokana na umahiri wa wagombea urais wa Chadema mwaka 2010 na 2015.

Zaidi,Tundu anakwenda kulikabidhi Jimbo lake la Ikungi CCM.

Tupinge kwa hoja.
yeye mwenyewe alishaongea kwamba walimuhitaji lowasa sana ili wapte ushindi
 
Ndugu zangu,

Huku site chuya na mchele zimeanza kujichuja kwani ni dhahiri sana Tundu Lissu anakwenda kuiangusha Chadema kwa kupoteza majimbo na kata ambazo Lowassa alishinda akiwa mgombea urais mwaka 2015 na Dr. Slaa mwaka 2010

Fundisho lililopo hapa ni kuwa kejeli,lopolopo au dhihaka na ujuaji majukwaani.Lissu ameshindwa kukonga nyoyo za wapiga kura na badala yake amejikita kulalamika huku kauli mbiu yake ikiwa "Watanzania hawataki maendeleo ya vitu (miundombinu, umeme, maji, shule, hospitali nk).

Muda umekwisha kwani Chasema kwa sasa hawawezi kufanya mabadiliko ya mgombea urais. Kwa haraka haraka majimbo yanapotea mwaka huu ni pamoja na Karatu, Moshi, Arumeru Magharibi na Mashariki, Arusha Mjini, Moshi Mjini, Vijijini, Rombo, Ukerewe, Bunda Mjini, Tarime Mjini na Vijijini, Simanjiro, Monduli, Babati nk. Ikumbukwe majimbo haya yalipatikana kutokana na umahiri wa wagombea urais wa Chadema mwaka 2010 na 2015.

Zaidi, Tundu anakwenda kulikabidhi Jimbo lake la Ikungi CCM.

Tupinge kwa hoja.
Ccm mnatakiwa kufurahia hilo kama likitokea ila cha ajabu ni kwamba mnaonesha masiitiko.
 
Lisu ataongeza majimbo mengine mpaya,hata ccm itapoteza baadhi ya majimbo,ni kawaida kwenye siasa
 
Akiiangusha si furaha kwako mbona unafadhaika sasa?
 
Yaani CDM toka kupambana na kupinga UFISADI, mpaka kupinga maendeleo ya vitu ! Hivi mwenye hoja za kupinga na kutokomeza Ufisadi na kupinga maendeleo ya vitu yupi anaonekana wa maana ? Kiufupi lissu na Cdm yake wana jisumbua tu , kushinda uchaguzi huu ni ndoto!..
Viwanda mlivyojenga viko wapi bro?
 
Back
Top Bottom