Vijana walisema kitimutimu kimeingia leo, kwenye myumba ya Shetani Mwendawazimu kaingiaje?
Kweli msemo huo wa vijana ulikuwa na maana pana ya kifalsafa ndani yake. Jana Tundu Lissu katia timu...
Ni matumaini yangu wajumbe mko Poa mkivuta upepo mwanana. Ni miaka mitano tangu Serikali dhalimu ya awamu ya tano iingie madarakani.
Pamoja na mambo mazuri ambayo yamefanyika katika awamu hii...
Ndugu zangu,
Napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa siku ya leo.
Katika uchaguzi ambao niliufuatilia kwa karibu kubwa sana tangia nianze kufuatilia siasa na wanasiasa, basi ulikuwa ule wa 2015...
Wanabodi,
Najua wengi wenu mtakuwa mmesahau ule mchezo wa Kenya unaitwa "Kivuitu system".
Pamoja na kwamba mfumo wetu uchaguzi kikatiba na kitume haupo huru bado ni jukumu la wapenda haki na...
Kuna viongozi wana mvuto wa asilia kwa watu (charismatic leaders). Hawa viongozi wana sifa zifuatazo:-
Characteristics of Charismatic Leader
1. Confident.. Charismatic leaders ooze confidence...
MGOMBEA URAIS CHADEMA AISHIWA FEDHA ZA KAMPENI
Na Humphrey Shao
Ikiwa ni katika hatua ya awali ya mchakato wa Uchaguzi mkuu kwa wagombea Urais wakiwa katika hatua ya kukusanya wadhamini nchi...
Mbunge wa Rombo aliyemaliza muda wake Joseph Selasini, ameviomba vyama vyote nchini kuhakikisha vinawapokea vijana wote waliohama vyao vyao na kuhamia vyama vingine lakini wakashindwa kwenye kura...
Kwanza kabisa waandaaji hawakuwa na uhakika wa kile walichokua wanataka kukifanya! Hawakujua agenda au maudhui ya kusanyiko hilo, matokeo yake ilikua kama gulio la wahuni au tuite panya road...
KATIBU Mkuu wa CCM, Dkt. Ali Bashiru amewataka wote waliotia nia kugombea ubunge kubaki kwenye majimbo yao kusubiri majina yatakayopitishwa na Halmashauri Kuu ya chama hicho inayokaa Dodoma Agosti...
Kwa mjibu wa matonyaji wangu wa karibu, Rafiki yangu wa siku nyingi sana tangu kuzaliwa CHADEMA wamendelea kujipima na kuona namna gani mugombea wao wa Urais amepokelewa na jamii ya watanzania...
Wapo wana CCM wanaojiamini na ambao hawapo tayari kuendelea kusubiri majina ya mfukoni yanayochakatwa na viongozi wao.
Mkoani Kigoma Jimbo la Kigoma Kaskazini kata ya Kagongo, Mgombea Udiwani...
17 Agosti 2020
Bunda Mjini
Tanzania
ESTER BULAYA ALIVYOCHUKUA FOMU YA UBUNGE, MASHEHE, MAPADRI WAMPIGIA MAOMBI, SALA NA DUA KWA SAA NA NUSU
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Ester...
#HABARI Mgombea Ubunge wa Jimbo la temeke kupitia CUF, mhe. Zainab Mdolwa amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Temeke.
Heri za Siku kuu ya Eid na Baraka tele za Mfungo wa Ramadhan. Poleni kwa kupambana na maisha na Ugonjwa thikili wa Corona.
Sasa wakati wa kufuma viongozi watakao iongoza ama kuitawla nchi zetu...
Kuanzia Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli, mwenezi Polepole na makada wengine ni kama vile wamepigwa ganzi!
Maendeleo waliyohubiri kuyafanya kwa miaka mitano yameyeyuka mithili ya theluji kwenye...
Katika watia nia wa kugombea urais na walioteuliwana kwa ajili ya kupeperusha bendera za vyama vyao, kwa vyama vilivyo vya dhati vya kuwa na upinzani mkuu katika uchaguzi wa mwaka huu, Chama cha...
Sina kumbukumbu kama kinachoendelea katika kuchakata majina ya wana CCM waliotangaza niya kugombea Ubunge kama kilishawahi kutokea.
Ilivyozoeleka CCM huwa na kalenda zao ambazo zinatangazwa kabla...
Ifuatayo ni mikoa inayombeba mgombea wa CCM kwa kura nyingi ambazo zinaenda kupatia ushindi mkubwa usiotarajiwa na washindani wake kwenye sanduku la kura.
Mikoa hii ni mikoa yenye idadi kubwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.