Uchaguzi 2020 Ijue mikoa ya ushindi kwa CCM

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,681
Ifuatayo ni mikoa inayombeba mgombea wa CCM kwa kura nyingi ambazo zinaenda kupatia ushindi mkubwa usiotarajiwa na washindani wake kwenye sanduku la kura.

Mikoa hii ni mikoa yenye idadi kubwa ya watu na ina maelfu wa wanachama wa CCM, hivyo kama vyama shindani hawakujikita huko mapema baada ya 2015 tu kuandaa members basi wajue hawana chao Oct 2020.

Mikoa hii ni ngome kubwa ya CCM, ni vigumu sana wakaazi wa mikoa hiyo kuwahamisha, lakini zaidi ni Magufuli.
1. DODOMA
2. TABORA
3. MWANZA
4. RUVUMA
5. SHINYANGA
6. GEITA
7. RUVUMA
8. MOROGORO
9. UNGUJA JUMLA
10. SIMIYU
11. TANGA
12. IRINGA
13. KATAVI
14. RUKWA

MIKOA ambayo haipo kwenye orodha hapo juu ni ile ya kugawana kura ambapo kura ndogo zitaongeza ujazo kwenye kura nyingi zitakazotoka kundi la mikoa iliyoorodheshwa juu.

Mikoa ya kugawana ni:

1. ARUSHA
2. KILIMANJARO
3. MARA
4. LINDI
5. MTWARA
6. PEMBA JUMLA
7. MBEYA
8. SINGIDA
3. KIGOMA

Kura za mikoa hii haziwezi kumpa ushindi mpinzani yeyote kwa sababu kura nyingi watagawana na CCM.
MIKOA isiyojulikana na yenye vigeugeu ni:

1. DAR
2. MTWARA
3. KAGERA

KURA NI MAHESABU TU. KAMA VYAMA VYA UPINZANI HAWAKUFANYA MAGAZIJUTO MAPEMA, BASI WASITUMIE GHARAMA ZA MATUMIZI HAKIKA WATAPATA HASARA BURE.
 
Karne hii kuongozwa na CCM wakati tulishaachana na mataipuraita masimu ya mkononi ya jeneza Yale ya kukoroga yalishapitwa na muda kitambo cc bado tuko na maccm lichama la Karne ya 19 huko hili c Jambo la kujivunia ni mkwamo wa kijamii Leo hii Nani anavaa klimprin au kutumia kamera za Kodak au yashika Yale ya zamani CCM should be crapped coz wameshindwa kuendana na wakati bado wanaitawala nchi ki Karne ya 18 unlikely kwamfano Democrats na Republicans ambao Wana miaka Mia mbili lakini wameendana na muda kwa kadri Jamii inavyobadilika so wanaabsorb mabadiliko CCM sio hivyo yenyewe inaongozwa kizamani ukiwapinga unapotezwa Mambo gani hayo ya Karne za pirating!
 
Funny fact :
CCM capitalize region with low education and population as well, Meanwhile opp are well understood in educated areas and towns
But the game is not fair
It is ok if majority are uneducated they have the right to rule the Country because democracy Is about majority rulr not minority rule!!

If many voters are uneducated CCM is right to Target them.Yo win their votes

Opposition parties are for the few elites ,the educated ones ,the town dwellers who speak English fluently!!
 
Karne hii kuongozwa na CCM wakati tulishaachana na mataipuraita masimu ya mkononi ya jeneza Yale ya kukoroga yalishapitwa na muda kitambo cc bado tuko na maccm lichama la Karne ya 19 huko hili c Jambo la kujivunia ni mkwamo wa kijamii Leo hii Nani anavaa klimprin au kutumia kamera za Kodak au yashika Yale ya zamani CCM should be crapped coz wameshindwa kuendana na wakati bado wanaitawala nchi ki Karne ya 21 unlikely kwamfano Democrats na Republicans ambao Wana miaka Mia mbili lakini wameendana na muda kwa kadri Jamii inavyobadilika so wanaabsorb mabadiliko CCM sio hivyo yenyewe inaongozwa kizamani ukiwapinga unapotezwa Mambo gani hayo ya Karne za pirating!
Umeandika kisomi Wakati kichwani mweupe

Marekani io vyama vinavyobadilika Ni watu ndio wanabadilka

Tanzania asilimia 80 wanaishi vijijini na wanaishi kizamani sasa utatakaje chama kiwe Cha kisasa kwenye wananchi wanaoishi kizamani walio wengi?

Analyisis yako imekosa upeo unajiandikia tu ku display upeo wako mdogo Sana wa kiakili
 
Ndugu Yangu Yericko Nyerere Imfikie Hii.....

Yale Mafuriko Ya Lowassa Yaliyomsomba Mwenyewe Yaliwapa Kura 6M.....
Uchaguzi Huu Kura Hizo Sizioni......

Tundu Lissu Akifikisha Kura Za Ujumla 3M,Mimi Nita......

Thubutuuuu......
 
Ifuatayo ni mikoa inayombeba mgombea wa CCM kwa kura nyingi ambazo zinaenda kupatia ushindi mkubwa usiotarajiwa na washindani wake kwenye sanduku la kura.

Mikoa hii ni mikoa yenye idadi kubwa ya watu na ina maelfu wa wanachama wa CCM, hivyo kama vyama shindani hawakujikita huko mapema baada ya 2015 tu kuandaa members basi wajue hawana chao Oct 2020.

Mikoa hii ni ngome kubwa ya CCM, ni vigumu sana wakaazi wa mikoa hiyo kuwahamisha, lakini zaidi ni Magufuli.
1. DODOMA
2. TABORA
3. MWANZA
4. RUVUMA
5. SHINYANGA
6. GEITA
7. RUVUMA
8. MOROGORO
9. UNGUJA JUMLA
10. SIMIYU
11. TANGA
12. IRINGA
13. KATAVI
14. RUKWA

MIKOA ambayo haipo kwenye orodha hapo juu ni ile ya kugawana kura ambapo kura ndogo zitaongeza ujazo kwenye kura nyingi zitakazotoka kundi la mikoa iliyoorodheshwa juu.

Mikoa ya kugawana ni:

1. ARUSHA
2. KILIMANJARO
3. MARA
4. LINDI
5. MTWARA
6. PEMBA JUMLA
7. MBEYA
8. SINGIDA
3. KIGOMA

Kura za mikoa hii haziwezi kumpa ushindi mpinzani yeyote kwa sababu kura nyingi watagawana na CCM.
MIKOA isiyojulikana na yenye vigeugeu ni:

1. DAR
2. MTWARA
3. KAGERA

KURA NI MAHESABU TU. KAMA VYAMA VYA UPINZANI HAWAKUFANYA MAGAZIJUTO MAPEMA, BASI WASITUMIE GHARAMA ZA MATUMIZI HAKIKA WATAPATA HASARA BURE.
Ni kweli kabisa,na Kampeni ni lazima ufuate Sayansi...Mikoa ya Ziwa ina utitiri wa watu vijijini ambao hata matumizi y Choo kwao Ni kitendawili...wao kofia na T-shirt inatosha kabisa kumuweka Duniani!
Hii Ni ngome kuu ya wa watu fulani...na ukizingatia Ubagoshaaa! Kuna kazi kule!
Bahati nzuri kwa upinzani unakibalika miongoni mws wasomi, vijana na wajanja fulani...Hawa wengi wapo mijini...kutokana na vijiji fulani kugeuka kuwa vimiji,kwetu Karagwe tunauita Sentani' hapo Kuna kura za upinzani!
Na kwa mwelekeo huu ,ambapo pia Chama Tawala kimewekeza kwenye ,ukale,ujinga na mabavu.Bahati mbaya sana kwao kizazi kinachomaintain' status quo ya ukale ...TAA,TANU ,CCM ,NYEREREISMs kina potea kinapitea Kama Dinassours ...huu Ni msiba kwa CCM!Kwa hiyo
bila hata kuangalia uchaguzi wa Mwaka huu, CCM inapoteza waachama wake wa damu by default😂..
Na Kama itatokea Awamu ya Tano ikaendelea 😩😩 na wakawepo pale ,Polepole, Bashiru, na vile vikuu vya Mikoa fulani CCM utakuwa inajimomomnyoa' yenyewe!
Dalili hizi Ni wazi...na hivi Ni Viashiria...Mwaka huu kwa Mara ya kwanza mgombea wa upinzani Ni mpinzani🤗🤗! ;Nguvu kubwa iliyotumika kuua upinzani kwa miaka 5 haijazaa matunda;Dhana ya upinzani imeanza kujibainisha zaidi kifikra,hii Ni hatarikubwa kwa Chama chenye asili ya Ukomunisti!
Vindakiki,wafurukutwa na wakereketwa hamuwezi elewa Sayansi hii!
 
Songwe,Katavi Njombe na Manyara hujasemea lakini ni maeneo muhimu kisiasa.
Njombe ni ngome ya CCM na hasa nyakati hizi Za Magufuli Kwa kazi aliyoifanya kwao.
Katavi ni watu hamsini Kwa hamsini Sawa na Songwe.
Manyara Kwa kipindi hiki ni ngome ya CCM kwa kiwango cha juu sana.
Katika Siasa Hamna Cha kupuuzwa lolote lawezekana
 
Ifuatayo ni mikoa inayombeba mgombea wa CCM kwa kura nyingi ambazo zinaenda kupatia ushindi mkubwa usiotarajiwa na washindani wake kwenye sanduku la kura.

Mikoa hii ni mikoa yenye idadi kubwa ya watu na ina maelfu wa wanachama wa CCM, hivyo kama vyama shindani hawakujikita huko mapema baada ya 2015 tu kuandaa members basi wajue hawana chao Oct 2020.

Mikoa hii ni ngome kubwa ya CCM, ni vigumu sana wakaazi wa mikoa hiyo kuwahamisha, lakini zaidi ni Magufuli.
1. DODOMA
2. TABORA
3. MWANZA
4. RUVUMA
5. SHINYANGA
6. GEITA
7. RUVUMA
8. MOROGORO
9. UNGUJA JUMLA
10. SIMIYU
11. TANGA
12. IRINGA
13. KATAVI
14. RUKWA

MIKOA ambayo haipo kwenye orodha hapo juu ni ile ya kugawana kura ambapo kura ndogo zitaongeza ujazo kwenye kura nyingi zitakazotoka kundi la mikoa iliyoorodheshwa juu.

Mikoa ya kugawana ni:

1. ARUSHA
2. KILIMANJARO
3. MARA
4. LINDI
5. MTWARA
6. PEMBA JUMLA
7. MBEYA
8. SINGIDA
3. KIGOMA

Kura za mikoa hii haziwezi kumpa ushindi mpinzani yeyote kwa sababu kura nyingi watagawana na CCM.
MIKOA isiyojulikana na yenye vigeugeu ni:

1. DAR
2. MTWARA
3. KAGERA

KURA NI MAHESABU TU. KAMA VYAMA VYA UPINZANI HAWAKUFANYA MAGAZIJUTO MAPEMA, BASI WASITUMIE GHARAMA ZA MATUMIZI HAKIKA WATAPATA HASARA BURE.
"Mikoa ya Bao la mkono" na "mikoa ambayo bao haliwezekani"
 
Mkuu kwenye iyo mikoa 14 hapo itakushangaza kitu watu washajanjaruka siku izi
 
Hata Singida ni ngome ya CCM, hiyo taka usitake ndio hivyo
Ifuatayo ni mikoa inayombeba mgombea wa CCM kwa kura nyingi ambazo zinaenda kupatia ushindi mkubwa usiotarajiwa na washindani wake kwenye sanduku la kura.

Mikoa hii ni mikoa yenye idadi kubwa ya watu na ina maelfu wa wanachama wa CCM, hivyo kama vyama shindani hawakujikita huko mapema baada ya 2015 tu kuandaa members basi wajue hawana chao Oct 2020.

Mikoa hii ni ngome kubwa ya CCM, ni vigumu sana wakaazi wa mikoa hiyo kuwahamisha, lakini zaidi ni Magufuli.
1. DODOMA
2. TABORA
3. MWANZA
4. RUVUMA
5. SHINYANGA
6. GEITA
7. RUVUMA
8. MOROGORO
9. UNGUJA JUMLA
10. SIMIYU
11. TANGA
12. IRINGA
13. KATAVI
14. RUKWA

MIKOA ambayo haipo kwenye orodha hapo juu ni ile ya kugawana kura ambapo kura ndogo zitaongeza ujazo kwenye kura nyingi zitakazotoka kundi la mikoa iliyoorodheshwa juu.

Mikoa ya kugawana ni:

1. ARUSHA
2. KILIMANJARO
3. MARA
4. LINDI
5. MTWARA
6. PEMBA JUMLA
7. MBEYA
8. SINGIDA
3. KIGOMA

Kura za mikoa hii haziwezi kumpa ushindi mpinzani yeyote kwa sababu kura nyingi watagawana na CCM.
MIKOA isiyojulikana na yenye vigeugeu ni:

1. DAR
2. MTWARA
3. KAGERA

KURA NI MAHESABU TU. KAMA VYAMA VYA UPINZANI HAWAKUFANYA MAGAZIJUTO MAPEMA, BASI WASITUMIE GHARAMA ZA MATUMIZI HAKIKA WATAPATA HASARA BURE.
 
Umeandika kisomi Wakati kichwani mweupe

Marekani io vyama vinavyobadilika Ni watu ndio wanabadilka

Tanzania asilimia 80 wanaishi vijijini na wanaishi kizamani sasa utatakaje chama kiwe Cha kisasa kwenye wananchi wanaoishi kizamani walio wengi?

Analyisis yako imekosa upeo unajiandikia tu ku display upeo wako mdogo Sana wa kiakili
CCM siku zote uwanja wetu ni kuwahubiria Watanzania hivi... "wewe mwananchi ukiwa masikini ndiyo haswaa mzalendo halisi.... so, achana na wapinzani wanaotaka kukutajirisha utakuwa beberu!"
 
Ni kweli kabisa,na Kampeni ni lazima ufuate Sayansi...Mikoa ya Ziwa ina utitiri wa watu vijijini ambao hata matumizi y Choo kwao Ni kitendawili...wao kofia na T-shirt inatosha kabisa kumuweka Duniani!
Hii Ni ngome kuu ya wa watu fulani...na ukizingatia Ubagoshaaa! Kuna kazi kule!
Bahati nzuri kwa upinzani unakibalika miongoni mws wasomi, vijana na wajanja fulani...Hawa wengi wapo mijini...kutokana na vijiji fulani kugeuka kuwa vimiji,kwetu Karagwe tunauita Sentani' hapo Kuna kura za upinzani!
Na kwa mwelekeo huu ,ambapo pia Chama Tawala kimewekeza kwenye ,ukale,ujinga na mabavu.Bahati mbaya sana kwao kizazi kinachomaintain' status quo ya ukale ...TAA,TANU ,CCM ,NYEREREISMs kina potea kinapitea Kama Dinassours ...huu Ni msiba kwa CCM!Kwa hiyo
bila hata kuangalia uchaguzi wa Mwaka huu, CCM inapoteza waachama wake wa damu by default😂..
Na Kama itatokea Awamu ya Tano ikaendelea 😩😩 na wakawepo pale ,Polepole, Bashiru, na vile vikuu vya Mikoa fulani CCM utakuwa inajimomomnyoa' yenyewe!
Dalili hizi Ni wazi...na hivi Ni Viashiria...Mwaka huu kwa Mara ya kwanza mgombea wa upinzani Ni mpinzani🤗🤗! ;Nguvu kubwa iliyotumika kuua upinzani kwa miaka 5 haijazaa matunda;Dhana ya upinzani imeanza kujibainisha zaidi kifikra,hii Ni hatarikubwa kwa Chama chenye asili ya Ukomunisti!
Vindakiki,wafurukutwa na wakereketwa hamuwezi elewa Sayansi hii!
Dah! kumbe Mbowe n CCM
 
Back
Top Bottom