Uchaguzi 2020 RATIBA: Vikao vya Uteuzi Wabunge & Wawakilishi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
1,014
847
( 1. ) JUMATATU & JUMANNE
( AGOSTI 17- 18 / 2020 )
Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa.

( 2. ) JUMATANO
( AGOSTI 19 - 2020 )
Kamati ya Usalama na Maadili Taifa.

( 3. ) ALHAMISI & IJUMAA
( AGOSTI 20 -21 / 2020 )
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa.

( 4. ) JUMAMOSI
( AGOSTI 22 -2020 )
Halmashauri Kuu ya Taifa.
 
Duuuh hizo ngazi hivi maana yake mgombea apitie hizo kamati hadi afike halmashauri kuu ndo atoboe au ni vikao vya kawaida?

wajuvi wa mambo nielimisheni
Walishaambiwa ba polepole kwa wale ambao haqajatoa mzigo na walizingatia taratibu za chama wawe na amani. Sasa tusubiri maana others contested stuffs tunazo huku.

Kazi yetu itakuwa ni kutally tu ma majina ya kamati. Ila siasa nchi hizi pressure tu. Wafanyakazi wanaenda mwezi wa pili huu bila bila wengine wote wanasubiria maamuzi ya kikao
 
Back
Top Bottom