Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naona ni kama hawa wanatucheza au kutuosha. Sioni jipya wala la maana. Kila kitu kimefanyika kiCCMCCM. Wananchi wajiepushe kuingia mtego wa karata tatu. Wote ni wasanii na wananchi ni walengwa...
1 Reactions
0 Replies
94 Views
Mimi sio mnafiki na sitokuwa kamwe, nauliza Leo Emanuel Nchimbi ni mbaya kuliko Samia ccm? Nalia nalia nalia hapa DODOMA kumepoa hata kama wametoa makamu!
4 Reactions
4 Replies
65 Views
In Quest of my orign and my ancenstral scanning using Artificial Intelligence (AI) I tried to inquest a lot and understand who the hell I am. In such a quest and wandering I discovered a lot...
2 Reactions
4 Replies
106 Views
Kauli kama hizi zinalipasua Taifa kuanzia kwenye chama chenyewe yaani ndani ya ccm. Hata kama VP amewachiwa ngazi lkn haileti afya kumuita kuwa yeye ni nyoka Haya maneno yanatamkwa na kiongozi...
2 Reactions
14 Replies
324 Views
Kutokana na sintofahamu inayoendelea na kufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Mh. Emmanuel NCHIMBI, duru zinaonyesha mwenye nafasi kubwa ya kuchukua kijiti basi ni kijana wetu Deogratius Ndejembi
18 Reactions
45 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu hali ya kisiasa nchini na kile kinachoitwa maridhiano. hali hii imenifanya nitafakari jambo hili kwa muda mrefu na kuona nitoe maoni yangu kwenye forum hii ili...
0 Reactions
7 Replies
114 Views
Sasa, najiuliza - kwa kosa gani? Kuna kutokubaliana, na mwenzako akaamua kukaa kando. Dawa ni kumdhibiti kabisa? Itazaa matunda? Matunda gani hasa? Wanajua kuwa kuna kundi kubwa zaidi?
19 Reactions
64 Replies
2K Views
Kwa namna yoyote ile Hayati John Pombe Magufuli hakukubali kufanya kazi na watu wasio na uwezo. Alimuibua Deo Ndenjembi huko kongwa.. Kilichofuatia ni historia
0 Reactions
4 Replies
116 Views
Kwamba CCM ni zaidi ya mtu mmoja kama ilivyokuwa zamani wakati wa chama kimoja. Kipindi hicho watu walilazimishwa kuzikubali fikra za mwenyekiti hata kama hazifai. Leo hii kila Mtanganyika anajua...
2 Reactions
2 Replies
69 Views
Ni ahadi naiona ikitimia. Walianza njia ya kuwatoa ni kuwapeleka ubalozini kama nchimbi na polepole soon mtawekwa kizuizini kama VP au kusikojulikana kama polepole joka limechoka kunywa damu za...
5 Reactions
11 Replies
241 Views
Mlifurahia Mheshimiwa kujihuzuru sahzi mnaumia kumpata Mh. Makamu mpya sasa mnafikir mambo yatasimama? Hivi mnaakili kweli nyie nyumbu Ndo maana mnaitwa MANYUMBU.
0 Reactions
16 Replies
120 Views
Tarehe 10 Februari 2025 Raila Odinga na Jaji Mstaafu Joseph Warioba walitoa ushauri mzito kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, lakini aliuacha hewani kwa msimamo wake mkali. Tarehehe...
7 Reactions
85 Replies
1K Views
Historia ya nafasi ya Makamu wa Rais nchini Tanzania imebadilika sana tangu Muungano wa mwaka 1964. Tanzania ilianza ikiwa na Makamu wa Kwanza na Makamu wa Pili, mfumo ambao ulihusisha kwa karibu...
0 Reactions
4 Replies
515 Views
Dunia ina vitu vingi sana vya ajabu na kuvutia. Usije ukashangaa siku 1 Katuga akatetewa mahakamani na Lissu kama wakili wake. Hakuna anaejua kesho yake, kuna mtu aliamini Othman Masoud atakuwa...
19 Reactions
37 Replies
567 Views
CCM ina Hazina Kubwa ya Vijana wenye kariba ya uongozi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea kuonesha kuwa kina hazina kubwa ya vijana wenye kariba ya uongozi, uzalendo na uwezo wa kulitumikia...
0 Reactions
2 Replies
31 Views
Hakuna mtu yyte aliyekishikilia chama cha CCM kama unadhani una nguvu ndani ya CCM unajidanganya BURE. Inshort siasa za CCM ni za kiwango cha ulimwengu mwingine ni siasa zilizojengwa kwenye...
2 Reactions
36 Replies
260 Views
Hii ni very classified information. Siongezi neno Mto wa mbu State of Illinois
45 Reactions
228 Replies
9K Views
Hawa wanasiasa wanacheke Kama sio ndugu zako dadeki Cheki hizi sauti mbuzi 🤣🤣
1 Reactions
1 Replies
82 Views
Kutokana na uchambuzi wangu,nafasi hii naona inaenda moja kwa moja kati ya watu hawa 3. 1.Prof.Kilila Mkumbo-70% 2.Prof.Palamgamba Kabudi-10% 3.Prof.Adolf Mkenda-20% Sababu. 1.Nafasi hiyo...
1 Reactions
19 Replies
320 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…