Wamemdaka, simu zake wanazo!

Wamemdaka, simu zake wanazo!

Sasa, najiuliza - kwa kosa gani?

Kuna kutokubaliana, na mwenzako akaamua kukaa kando. Dawa ni kumdhibiti kabisa?

Itazaa matunda? Matunda gani hasa?

Wanajua kuwa kuna kundi kubwa zaidi?
Wanataka waone anawasiliana na nani. Yaani kupitia simu zake na laptop, watagundua watu wake wa karibu Serikalini. Mwanzo na Mwisho wa CCM. Huwezi mvua mtu Uanachama bila kumpa nafasi ya kumsikiliza. Samia katumia Uamuzi wa Hasira na Umbumbumbu.

Hii thread imenikumbusha Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo Walivyofukuzwa CHADEMA.

Godbless Lema alimnyang'anya laptop aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Arusha bwana Samson Mwigamba. Walipoipekua wakakukuta Walaka wa kumpindua Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe.

Godbless Lema akapeleka ile laptop na Walaka kwenye Kikao cha Kamati Kuu.

Ule walaka uliposomwa ndo ikawa mwisho wa Zitto Kabwe Mkumbo na wenzie walikuwa wanatumia majina ya kificho MM.

Wakaenda kuanzisha ACT WAZALENDO
 
Hilo kundi kama kweli lipo linasubiri nini kuchukua hatua?

Sitegemei kuona hilo linawezekana, kwasababu kushindana na boss wao ni ngumu anatumia mpaka vyombo vya dola kuwaadhibu wabishi.

Watakuwa wanazidi kumfinyanga kisaikolojia ili wakimuachia hapo basi yeye, na hilo kundi lake kama lipo, wote watulie.
 
IMG-20260827-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom