CCM Haitaki maridhiano

CCM Haitaki maridhiano

Kwakivesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
336
Reaction score
472
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu hali ya kisiasa nchini na kile kinachoitwa maridhiano. hali hii imenifanya nitafakari jambo hili kwa muda mrefu na kuona nitoe maoni yangu kwenye forum hii ili waungwana mpime na mjiridhishe kabisa kwamba Chama Cha mapinduzi hakitaki maridhiano na hakina nia ya dhati kutekeleza hayo yanayoznungumzwa kama majadiliano.

Mwanzoni kabisa katika kipindi cha awamu ya kwanza ya muhula huu tuliambiwa kwamba kuna 4R ambazo ndio muongozo wa mama katika kuleta muafaka wa kitaifa na kulikuwa na kila dalili kwamba tunakoelekea kama taifa tulikuwa tunaelekea kuzuri; hizi 4R ziliishia wapi?

Baadae ikasemekana kwamba kuna mazungumzo kati ya CCM na chama kimojawapo lakini mazungumzo hayo wakati yanataka kufikia mwisho CCM wakaweka ngumu kwa maana ya kwamba hawakutaka yaingie kwenye maandishi.

Hata hivyo wadau mbalimbali walitka maridhiano hayo yafanyike kabla ya uchaguzi na walienda mbali kwa kusema mfumo wetu wa kuchaguana haujakaa vizuri;sio ndani ya vyama lakini hata vyama kwa vyama uwanja haujakaa sawa;vi vema siku zikasogezwa hata kama ni miaka mitatu mbele utengenezwe mfumo bora wa uchaguzi lakini hoja hiyo ikakataliwa.

Dhana kubwa ya maridhiano ni katiba mpya,tume huru ya uchaguzi,haki na kwa sasa yanaongezeka mengine kulingana na wadu wanavyotoa hoja zao
Kinachoshangaza Makamu wa rais siku za hizi karibuni alitoa maoni yake juu ya issue ya katiba;kejeli anazozipata kutoka kwa wana ccm wenzake zina ashiria kweli kwamba kuna maridhiano

Sasa hivi kuna ushawishi mkubwa wa kutaka watu waingie kwenye maridhiano;lakini kuna mambo ya kujiuliza hapa;

1. Maridhiano hayo ni ya nini?
2. Wanaridhiana nani na kwa nini?
3. Kuridhiana ili iweje?

HITIMISHO: CCM HAITAKI MARIDHIANO;wangekuwa wanataka maridhiano wangeyafanya tu hata bila kutaka vyama ambavyo havitaki maridhiano kushiriki na kiufupi maridhiano sahihi yalipaswa kwa kuanza mchakato wa katiba mpya na kuweka mfumo mzuri wa kuchaguana kitu ambacho ccm hawawezi na wala hawataki.
kwa maana nyingine issue ya maridhiano ni dhana tu na kujazana uongo.
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu hali ya kisiasa nchini na kile kinachoitwa maridhiano. hali hii imenifanya nitafakari jambo hili kwa muda mrefu na kuona nitoe maoni yangu kwenye forum hii ili waungwana mpime na mjiridhishe kabisa kwamba Chama Cha mapinduzi hakitaki maridhiano na hakina nia ya dhati kutekeleza hayo yanayoznungumzwa kama majadiliano.

Mwanzoni kabisa katika kipindi cha awamu ya kwanza ya muhula huu tuliambiwa kwamba kuna 4R ambazo ndio muongozo wa mama katika kuleta muafaka wa kitaifa na kulikuwa na kila dalili kwamba tunakoelekea kama taifa tulikuwa tunaelekea kuzuri; hizi 4R ziliishia wapi?

Baadae ikasemekana kwamba kuna mazungumzo kati ya CCM na chama kimojawapo lakini mazungumzo hayo wakati yanataka kufikia mwisho CCM wakaweka ngumu kwa maana ya kwamba hawakutaka yaingie kwenye maandishi.

Hata hivyo wadau mbalimbali walitka maridhiano hayo yafanyike kabla ya uchaguzi na walienda mbali kwa kusema mfumo wetu wa kuchaguana haujakaa vizuri;sio ndani ya vyama lakini hata vyama kwa vyama uwanja haujakaa sawa;vi vema siku zikasogezwa hata kama ni miaka mitatu mbele utengenezwe mfumo bora wa uchaguzi lakini hoja hiyo ikakataliwa.
Dhana kubwa ya maridhiano ni katiba mpya,tume huru ya uchaguzi,haki na kwa sasa yanaongezeka mengine kulingana na wadu wanavyotoa hoja zao
Kinachoshangaza Makamu wa rais siku za hizi karibuni alitoa maoni yake juu ya issue ya katiba;kejeli anazozipata kutoka kwa wana ccm wenzake zina ashiria kweli kwamba kuna maridhiano

Sasa hivi kuna ushawishi mkubwa wa kutaka watu waingie kwenye maridhiano;lakini kuna mambo ya kujiuliza hapa;1.Maridhiano hayo ni ya nini?
2.Wanaridhiana nani na kwa nini?
3.Kuridhiana ili iweje?

Nia yao ni kuiingiza nchi kwenye machafuko tena
 
My friends, ladies and gentleman,
maridhiana ya hiyari ya kitaifa miongoni mwa waTanzania wote, yatafanyika kwa wakati muafaka kwasabau ni muhimu sana ili kujenga msingi imara wa kuelekea kwenye mchakato muhimu zaidi wa kupata katiba mpya.

msibabaishwe na porojo za maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu :NoGodNo:
 
Kitu muhimu ni Dudu baya katukumbusha kwa kusema "KILA MTANZANIA ALINDE MATAKO YAKE" haya mengine tumuachie Mama atufanye atakavyo
 
Wanataka maridhiano ya maigizo ili kudanganya dunia kuwa wanataka amani, umoja na mshikamano ilihali wanaendeleza uharamia wao chini chini
 
Ukitaka kujua maridhiano ni ghiriba, angalia bajeti ya Tume ya Uchaguzi na mchakato wa Katiba.
 
Back
Top Bottom