CCM: Hazina Kubwa ya Vijana Viongozi

CCM: Hazina Kubwa ya Vijana Viongozi

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
604
Reaction score
552
CCM ina Hazina Kubwa ya Vijana wenye kariba ya uongozi

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea kuonesha kuwa kina hazina kubwa ya vijana wenye kariba ya uongozi, uzalendo na uwezo wa kulitumikia taifa. Uteuzi huu ni uthibitisho kuwa CCM ni chama kinachowaamini vijana na kuwapa nafasi ya kushiriki katika uongozi wa nchi. Ni chama chenye vijana wazalendo, wachapakazi na wenye utayari wa kujitolea kulitumikia Taifa kwa uaminifu na kuendeleza kasi ya maendeleo.
IMG-20260827-WA0033.jpg
 
Watanganyika hamnazo, ebu peleka mtanganyika Zanzibar uone kama atathubutu kuua wazanzibar na kupachika familia yake yote madarakani.
 
Back
Top Bottom