Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi ndivyo Samia anavyozungumziwa kimataifa. Kwa kweli watu wanaomuunga mkono huyu muuaji siwaelewi kabisa. ============== Serikali imepiga marufuku mikutano yote ya kisiasa, jambo ambalo...
13 Reactions
38 Replies
958 Views
Nimeshangazwa sana na kauli ya Mwigulu Nchemba (PM) kuwa wanaChadema wanafanya harakati na kutukaa viongozi. Ameenda mbali na kudai huko nyuma Chadema walikuwa wakimtukana hayati JPM...
3 Reactions
6 Replies
158 Views
"Huyu jamaa mbona nywele ziko safi hajaelewa somo?" Ni kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTZ2 Tundu Lissu akimwambia Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless...
19 Reactions
88 Replies
1K Views
Kuna nchi duniani kuzaliwa, ni kama vile wazazi wako walifanya makosa kukuletea duniani na mfano mzuri ni Banana Republic moja inayopatikana East Africa ambapo wenye akili wako jela huku wenye...
7 Reactions
10 Replies
158 Views
Inasikitika kuwa raia wa nchi yenye viongozi wa namna hii. Kwa lugha nyepesi hapa wooooote watu milioni 70 tumeonwa hatuna akili. Ina maana hawa viongozi hata aibu hawana? Hata hafikirii akiwa...
2 Reactions
8 Replies
165 Views
Leo nimeona Mwaipopo ana vijana wamefunikwa uso na kutishia maisha ya watu wasiandamane, JWTZ kwenye lile tangazo lako kama kweli wanalinda mipaka na mamlaka ya nchi hii wanatakiwa walichukulie...
0 Reactions
7 Replies
157 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, anatarajiwa kuwahoji kwa maswali ya dodoso (cross-examination) Kamishna Mkuu wa Magereza pamoja na Mkuu wa Gereza la...
6 Reactions
11 Replies
394 Views
Katika Kumbukumbu la Torati 30:19, twasoma "Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na...
2 Reactions
12 Replies
146 Views
Akizungumza na waandishi wa habari kwa hisia kali leo Julai 1, 2026, jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Velena Gati Marwa, ameanika...
3 Reactions
29 Replies
543 Views
  • Featured
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi wakati akifanya mahojiano na UTV Julai 1, 2026, amesema maandamano yoyote yanapaswa kufuata taratibu za kisheria ili yarasimishwe na kuwekwa...
4 Reactions
38 Replies
1K Views
JWTZ ni dhahiri limekubali kujinasibisha na SIASA- ambayo ni kinyume na KATIBA ya JMT ni hatari zaidi kwa ustawi wa TZ. Kwa mfano kauli ya Msemaji wa JWTZ kusema KAZI na UTU ni kauli ya kisiasa...
11 Reactions
19 Replies
315 Views
-Yuko wapi huyu Naibu Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Bukombe-CCM? -Ni nani alirithi mikoba yake, maana natambua kwamba mkeka wa 2025 ulichanika? -Namuona Waziri Mkuu wa sasa anahaha...
3 Reactions
17 Replies
382 Views
Kwako Mheshimiwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, Nina ushauri Mmoja tu kwako. Naomba nikushauri ya kwamba tofautisha nafasi ya Uwaziri Mkuu na nafasi ya ukatibu mwenezi wa CCM. Ushauri wangu ni...
16 Reactions
33 Replies
546 Views
Je, ni kwasababu ya kuhoji matumizi ya fedha na kuibua mashaka dhidi ya upigaji wa fedha za mabwenyenye ya magharibi na zile ambazo huchangishwa kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa? Na je...
1 Reactions
37 Replies
422 Views
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema keki ya taifa ni ndogo sana, hivyo wananchi wanapaswa kuchagua viongozi makini wenye uwezo wa kuipigania ili kuhakikisha maendeleo yanafika katika...
0 Reactions
3 Replies
123 Views
Nimemkumbuka bwana huyu maana kipindi hicho alivunja lekodi kwa kuvitumikia vyama viwili kwa wakati mmoja yani CCM na Chadema mwenyekujua bwana huyu yupo wapi anafanya Nini kisiasa yupo hai au au...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo nimewaza na kuwazua, sikupata jibu: dola ni nini? Je, ni mkusanyiko wa viongozi na wananchi au ni viongozi peke yao? Kazi ya dola ni nini? Kujilinda au kulinda wengine? Wajibu wa raia kwa...
0 Reactions
1 Replies
68 Views
Tangu Samia aingie madarakani tokana na ajali ya kifo cha Jiwe, ameshikilia sera uchwara ya uchawa. Je, naye ni chawa au mfuga machawa? Je, taifa. limefaidika vipi tokana na sera hii kama kweli...
1 Reactions
18 Replies
310 Views
Kila mtu anajua kuwa sio rahis kutoa sadaka maisha yako ili mabadiliko ya watu wengi au nchi ipatikane. Lakini kuna mtu mmoja anayeitwa Tundu lisu amepigwa kwa fimbo na mateke na kila aina ya...
19 Reactions
14 Replies
428 Views
Hii itasaidia kuimarisha Mapato yao kwani Raia na Kampuni za Ulinzi zitanunua Silaha hizo kutoka kwenye Maduka yao kama ilivyo kwa TANGANYIKA ARMS na hii pia itasaidia Serikali kupunguza matumizi...
1 Reactions
7 Replies
100 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…