Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamo mwenyekiti wa jumuiya wa wanawake CUF taifa mhe. Kiza mayeye ambaye pia ni mgombea wa ubunge Jimbo la kigoma kaskazini, mapema leo amefika katika ofisi za msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana JF, Kupiga kura ni haki yangu ki-katiba na kisheria, ni wajibu wangu pia kama raia, lakini zaidi ya yote ni fursa yangu kutumia haki yangu kuonesha hisia zangu (si hasira) kwa watu...
2 Reactions
5 Replies
879 Views
Membe, Wewe umri wako bado unakuruhusu 100% kugombea Urais hata miaka 10 ijayo. Ningekuomba kwa sababu moja kubwa na muhimu sana tena itakayokujengea heshima kubwa sana, kwakua chama chako cha...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari za muda huu ndugu zangu wanajukwaa pendwa. Ndugu yenu nimeona ni vema tukapeana techniques za kumuombea kura za ndiyo Mh. Lissu kwa kuwa ndyo kiongozi pekee tunayemtegemea atutoe kwenye...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
HABARI Mgombea Ubunge Jimbo la mtwara mjini kupitia CUF, mhe. Maftaha nachuma amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Mtwara Mjini
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimefurahishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi kutimiza wajibu wake bila upendeleo. Leo kwenye hadhara ya kutafuta wadhamini, mgombea urais kwa tiketi ya chadema, Bw. Tundu Antipas Lissu akiwa...
36 Reactions
128 Replies
13K Views
Breaking News: Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Katavi kimesema majina ya uteuzi wa udiwani yametolewa na kwamba aliye shinda kura za maoni ndiye aliyeteuliwa. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020, ninawashauri wapinzani kutumia Kauli-Mbiu moja hata kama kila chama kinashindana kivya-vyake. Ni kwa njia hii upinzania utaweza kuichinjia CCM baharini ki-mkakati...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Lisu katika harakati za kusaka wadhamini akiwa mjini Tanga na Muheza amesifia kazi za awamu ya tano kuwa wanajenga reli mpya bwawa kubwa la umeme na miradi mingi mikubwa. Kafananisha kazi hizo na...
20 Reactions
133 Replies
13K Views
Wanajamvi, Kama heading ya uzi huu inavyojieleza, ni kwamba hakuna haja ya upinzani ku panic kabisa! Hayo ni ya wana ccm kuyafanya, na kamwe siyo upinzani. Wao ccm, kwani wamezuiwa kufanya siasa...
19 Reactions
153 Replies
12K Views
Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm! Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM.
37 Reactions
243 Replies
30K Views
Nimefuatilia kwa ukaribu na kufahamu sababu nyingi sana zinazofanya ACT-Wazalendo na CHADEMA kuchelewa kuamua kuungana na kuunga mgombea mmoja wa Urais ama hata kutoungana kabisa. Kwa sasa...
0 Reactions
5 Replies
966 Views
Iko hivii: kuna tetesi kuwa Bosi hataki matumizi makubwa kwenye Uchaguzi huu, hataki chama kitumie pesa nyingi kuwanadi wagombea wake wa ubunge na badala yake nguvu unaelekezwa zaidi kwe Urais...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Sio Siri VIONGOZi na wanachama wa CCM mahala popote walipo huwa Kuna kitu wanajivuni kabla ya Uchaguzi. Hata kuwe na dalili za Uchaguzi kuwa mgumu namna gani CCM huwa hawana hofu. Na ndio maana...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Akizungumza mbele ya umati wa wananchi huko Babati, Lissu amesema wamepata taarifa za vikao vya wakubwa na vibaraka wao wanaohofia kimbunga chake huko mikoani. Lissu anasema mkakati huo wa...
47 Reactions
161 Replies
17K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) mh Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347 Source East africa radio My take...
9 Reactions
76 Replies
50K Views
Baada ya wajumbe kutathini mwenendo wa namna bw. Lissu anavyotafuta wadhamini huko mikoani, hofu na giza kuu limetamalaki hapo UFIPA, baada ya kuona muda wote Lisu ni mtu wa kutukana Serikali...
5 Reactions
79 Replies
10K Views
Huu ndio mtihani walio nao NEC kwa sasa kuhusu Tundu Lissu wanashindwa wamfanye nini mtu huyu ambaye ameshaonekana ni mwiba mchungu sana kwenye kampeni za mwaka huu Ushauri wangu kwa NEC muacheni...
32 Reactions
80 Replies
7K Views
Mimi ni mkazi wa Kanda ya Ziwa ila tunachangamoto kubwa ya maji. Maji maji maji ni janga kubwa sana kanda ya ziwa. Cha kwanza awamu hii gharama ya maji imepanda sana na maji yenyewe ni ya...
47 Reactions
115 Replies
10K Views
Back
Top Bottom