Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
Mimi ni mkazi wa Kanda ya Ziwa ila tunachangamoto kubwa ya maji.
Maji maji maji ni janga kubwa sana kanda ya ziwa.
Cha kwanza awamu hii gharama ya maji imepanda sana na maji yenyewe ni ya shida.
Hebu imagine ziwa lipo within 30 km ila maji mnapewa kwa mgao. Kuna maeneo mwanza hii, maji yanapatikana usiku tu. Sasa afadhali na uko. Kuna pengine maji yanafunguliwa mara moja kwa wiki.
Hawa wabunge tuliochagua Mwanza wakina " Mabula"ndyo bure kabisa. Hawana msaada wowote. Wamekaa bungeni miaka 5 hoja zao ni kusifia tu huku wakisahau changamoto za waliowachagua wakijali masilai yao na ya aliyewateua.
Mbali na maji, barabara vumbi za mwanza ndyo hovyo kabisa.
Umekaribia uchaguzi ndyo wamezikwangua kihuni huni tu. Mvua imepiga mara moja tu kwisha, mabonde kuinama kama kawaida.
Sasa ni hivi, kura mtapigiwa na mandege mliyonunua..fulu stopu.