Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ni very classified information. Siongezi neno Mto wa mbu State of Illinois
45 Reactions
228 Replies
9K Views
Hawa wanasiasa wanacheke Kama sio ndugu zako dadeki Cheki hizi sauti mbuzi 🤣🤣
1 Reactions
1 Replies
82 Views
Kutokana na uchambuzi wangu,nafasi hii naona inaenda moja kwa moja kati ya watu hawa 3. 1.Prof.Kilila Mkumbo-70% 2.Prof.Palamgamba Kabudi-10% 3.Prof.Adolf Mkenda-20% Sababu. 1.Nafasi hiyo...
1 Reactions
19 Replies
320 Views
Bado maswali ni mengi kuliko majibu, Yeye amejiuzuru mpaka siasa, kabsa alafu nyie mnamfuta UHANACHAMA ili iweje? Yaani ccm Haina Imani na Nchimbi inawaza yakuwa yawezekana baadae akabadilika...
7 Reactions
12 Replies
334 Views
Sisi watumishi wa umma tunatambua mchango mkubwa wa Mh Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwetu sisi tangu alipoingia madarakani aliongeza mishahara na kupandisha madaraja yaliyokuwa yamesimama kwa...
1 Reactions
28 Replies
691 Views
Salaam! Inaendelea live, https://www.youtube.com/live/n-kmeazATjw?si=X3ij2Vo-Q0MJF8hQ Askofu Gwajima amesema kumekuwa na mlolongo wa matukio ya watu kutekwa pamoja na kupotea hivyo kutokana na...
67 Reactions
443 Replies
28K Views
Inasemekana mawasiliano na Nchimbi hakuna hadi sasa Ikiwa wamechukua simu yake maana yake huenda wamegushi barua ya kujiuzulu, wakatumia account zake za mitandao ya kijamii pia kutuma. Nafasi ya...
4 Reactions
14 Replies
393 Views
Mheshimiwa Rais wangu. Pole na majukumu ya kazi yako ya uraisi,na pole Kwa lawama ambazo zinaelekezwa kwako hata pale ambapo makosa hayo yamefanywa na wasaidizi wako. Mheshimiwa Rais natamani...
5 Reactions
18 Replies
864 Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho Amesema uamuzi huo umekuja...
34 Reactions
1K Replies
116K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema mabadiliko ndani ya Serikali (Aliyoyaita kucheza draft) yataendelea hadi pale mstari "laini" iliyokaa sawasawa...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Hatimaye, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amejiuzulu wadhifa wake baada ya miezi ya tetesi, mijadala ya kisiasa na mashambulizi yaliyokuwa yakimlenga ndani...
8 Reactions
13 Replies
987 Views
Wanabodi, Kwa maslahi ya Taifa, should we demand more transparency and the right to information kwenye teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?. Should we adopt the...
14 Reactions
89 Replies
5K Views
Kesi inayomkabili Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kitunzi Kaijage, imeahirishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, huku mshtakiwa akiendelea kusota rumande...
0 Reactions
5 Replies
140 Views
Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema hakuna mwanachama anayepaswa kujiona mkubwa au maarufu kuliko Chama Cha Mapinduzi, akisisitiza kuwa kufikia hatua...
0 Reactions
20 Replies
315 Views
Kwa takriban miaka 20, Joseph Mwasote amekuwa sehemu ya safari ya kisiasa ya CHADEMA, akipanda kutoka uongozi wa Kata ya Tunduma hadi kuwa mwenyekiti wa Mkoa wa Mbeya na baadaye kugombea ubunge wa...
0 Reactions
4 Replies
107 Views
Agosti 4, 2026, kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bakari Kazungu, alitekwa na watu wasiojulikana jijini Tanga na baadaye kupatikana akiwa amepigwa na kuteswa vibaya. Kabla ya tukio hilo, Kazungu...
0 Reactions
1 Replies
114 Views
Kama na sisi tunaweza kumfanya makamu wa Rais ajiuzulu kwa amani kabisa ni dalili kuwa na sisi tumepevuka. Mambo kama haya hayapatikani sana nchi za Afrika bali Ulaya, NKorea, Japan na nchi...
0 Reactions
1 Replies
43 Views
Chama kikongwe kinaogopa majadiliano. Katika vikao vyao kazi kubwa ni kupitisha anachokitaka mwenyekiti wao. Hakuna nafasi ya mawazo mbadala, kutokubaliana na mwenyekiti ni uasi usiovumilika. Je...
0 Reactions
0 Replies
31 Views
CCM inaendeshwa na wahuni aliwahi kusema Polepole kwamba Samia kuna kikundi kimemweka mateka kinapambania maslahi yao tunaona kwa Nchimbi kosa lake nini...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…