Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kichwa kiko wazi. Nashangaa. Kunani? Ni mpango wa kutupiga changa la macho au? Nani ni nani katika hili? Je, kiraka kajitambua au kujitutumua? Tutegemee kumagufuliana kama ilivyotokea? Je, damu...
3 Reactions
7 Replies
214 Views
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Maganya amesema jumuiya hiyo inaunga mkono Dkt. Emmanuel Nchimbi kuvuliwa uanachama. Ameyasema hayo akiwa Misungwi...
3 Reactions
10 Replies
204 Views
Hapa tupo shingoni, bado kichwa tu. Kama ni ng'ombe imebaki mkia tu kiwiliwili kwisha. Kwa kuwa serikali haziamini utabiri. Basi waamini hata political winds it blows. Tayari sio mpasuko tena ni...
1 Reactions
3 Replies
171 Views
Machawa tupeni mrejesho maana hata makosa yenyewe watu wengi hawayajui.
1 Reactions
7 Replies
122 Views
Mzee Butiku anasema kwenye Ile tume ya katiba walipowahoji viongozi wote wa Zanzibar walionyesha kuwa na uchungu sana na nchi Yao na hapo viongozi wote walikuwa wanakubaliana na maalim Seif. Kwa...
2 Reactions
22 Replies
471 Views
Fifteen years ago, the World Bank predicted Tanzania would need a century to achieve 100% rural electrification. In 2026, Tanzania, through REA, achieved universal village grid electrification...
0 Reactions
4 Replies
85 Views
https://youtu.be/MlQRJzlk_JM?si=6mw_RwolPu_sNa9P Ameyasema haya leo akiongea na waandishi wa habari huko Iringa. Ameitaka serikali chini ya CCM ikiongozwa na Rais Samia kuweka kiburi na majivuno...
2 Reactions
6 Replies
161 Views
Salaam Watanzania. Kwa ufupi ni kwamba Nchi imekwama. Watanzania wanabaki wameduwaa. Samia Suluhu Hassan amebaki na Mamlaka ya Urais kama taasisi tu ila kapoteza Mvuto. Kageuka kituko kila mtu...
12 Reactions
18 Replies
437 Views
WAKATI TUNASOMA, WAALIMU WALIFUNDISHA; FUATA KILICHOKULETA. UMEKUJA PEKEAKO UTAONDOKA PEKEAKO. WALIFUNDISHA WOGA NA UTENGANO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ukiachana na Dini ambayo imetumika...
2 Reactions
1 Replies
54 Views
Kuna watu Wanahisi kwamba Samia Hassan au CCM wanaweza kumuondolea Ulinnzi Emmanuel Nchimbi. Hawana ubavu huo kwani analimdwa na Katiba. Sio yeye tu anapata ulinzi, bali yeye na watu wake wa...
6 Reactions
21 Replies
458 Views
Hapa ndipo dodoso linaanza kugusa moja kwa moja credibility ya ushahidi na value ya vielelezo. Katuga anaonekana kujaribu kumfunga Lissu kwenye admissions alizokwisha kuzitoa wakati wa...
13 Reactions
19 Replies
612 Views
Anonymous
Mapema mwezi Januari 2026, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, alisema Wizara ilipatiwa kiasi cha Shilingi bilioni 2 ambacho kingewawezesha watengenezaji wa maudhui...
1 Reactions
1 Replies
55 Views
Sijui kama Nchimbi alikuwa amejiandaa kukabiliana na dhahma ambazo zinaweza kumkuta baada ya kufukuzwa kutoka CCM na kuachia madaraka haramu aliyokuwa nayo. Hapa nawaza tu kama labda...
8 Reactions
27 Replies
495 Views
  • Featured
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Jaji Shaban Ally Lila, amewaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuwa...
3 Reactions
19 Replies
779 Views
Kwahiyo wale wanaotilia shaka Uislam wa Ndejembi hawana Mashiko Ambacho Sina Hakika nacho ni kuhusu Rais na Makamu wake kutokea Upande mmoja wa Muungano kama kinaruhusiwa Kikatiba, hapa labda...
10 Reactions
18 Replies
355 Views
Alituasa Nyerere: “Ukishakula nyama ya mtu, hutaacha kuila” Huyu Samuya huyu, bila shaka mwanae kamroga; hana soni wala haya usoni kwake. Baada ya wiki 2 tutaanza kuimba, BRING BACK NCHIMBI.
15 Reactions
29 Replies
697 Views
  • Featured
Tanzania = Tanganyika + Zanzibar 🙏 • Mke wa Mwl, Julius K. Nyerere, Maria Nyerere. • Wake wa Ali H. Mwinyi, Sitti na Khadija Mwinyi. • Mke wa Benjamin W. Mkapa, Anna Mkapa • Mke wa Jakaya M...
29 Reactions
178 Replies
14K Views
Hapa nazungumzia Vyama vinavyopata Ruzuku na vina Wabunge bungeni mfano CCM na CHADEMA; 1. Mshahara 9m TZS (net); 2. Gari (SUV) mafuta, matengenezo na dereva; 3. Diplomatic Passport (VIP lounge...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Naona ni kama hawa wanatucheza au kutuosha. Sioni jipya wala la maana. Kila kitu kimefanyika kiCCMCCM. Wananchi wajiepushe kuingia mtego wa karata tatu. Wote ni wasanii na wananchi ni walengwa...
1 Reactions
0 Replies
94 Views
Mimi sio mnafiki na sitokuwa kamwe, nauliza Leo Emanuel Nchimbi ni mbaya kuliko Samia ccm? Nalia nalia nalia hapa DODOMA kumepoa hata kama wametoa makamu!
4 Reactions
4 Replies
65 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…