Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Video mbaya imetoka kuhusu Mwamposa. Mambo mabaya, haiwezekani hata kuyazungumza hapa JF au popote. Tatizo ni kwamba huyu "Nabii" amekuwa rafiki mkubwa wa Rais Samia na sifa mbaya Kwa huyu mtu...
4 Reactions
28 Replies
774 Views
https://www.instagram.com/reel/DePHV3lO4aT/?obrf=MWpkNGhremkxNDgyZA==
1 Reactions
1 Replies
38 Views
FEMATA inajieleza kuwa ni taasisi inayowakilisha maslahi ya wachimbaji wadogo nchini Tanzania. Kwa nafasi hiyo, jambo la msingi si taasisi kuwa na jina au viongozi pekee, bali ni kuhakikisha...
0 Reactions
0 Replies
17 Views
07 June 2026 #LIVE: KIJANA MZALENDO ANAFUNGUKA MAMBO MAZITO SAMIA KWENDA URUSI, "TUJIANDAE KUUMIA" https://m.youtube.com/watch?v=G6zobdMSy6s Kada wa CCM, David Levi Nkindikwa akinyoosha rula...
6 Reactions
11 Replies
389 Views
Picha:Taswira ya Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Je, mijadala na maamuzi yetu ya kitaifa baada ya uchaguzi yanaongozwa na maridhiano na hekima ya pamoja, au yanaathiriwa na...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
Leo, tarehe 8 Oktoba 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu Maombi ya Zuio katika Maombi Madogo Na. 14864 ya mwaka 2026. Maombi hayo...
4 Reactions
13 Replies
216 Views
Kama na wewe hua ni wale wanaosema kua lema kaficha familia yake Canada, mara watoto wa Lissu wapo Marekani... Unataka kuandamana utakufa wenzio familia zao zipo nje. Sikia nikwambie siku sheria...
1 Reactions
9 Replies
92 Views
Halafu anaibuka mtu anaitwa Polepole akitaka kutuaminisha Magufuli alikuwa mzuri sana na mstaarabu Pia soma Prof. Assad: Sikustaafu kuwa CAG bali niliondolewa kinyume na Katiba bila Kulipwa...
12 Reactions
74 Replies
1K Views
Tatizo ni machawa Tatizo ni majaji wanapokea rushwa. Haya ndiyo mawazo ya Talmud.( Rabbi Mirvis aliniambia ninayo ruhusa yake kuongea kuhusu Talmud) Tumejifunza katika Boraitha: Kama utaishi...
1 Reactions
1 Replies
60 Views
Msaidizi binafsi wa Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), Tundu Lissu, David Djumbe, amefunguka kuhusu mazingira yaliyomfanya akimbie nchini Tanzania baada ya kupokea taarifa...
3 Reactions
13 Replies
436 Views
Ni maoni yangu hakuna haja ya maandamano mengi Kwa sasa Taifa litulie kwanza Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania...
4 Reactions
89 Replies
617 Views
SGR wametoa route ya 13500 Moro Dar wamebakiza ya 50,000 ili mabasi ya Abood yapate abiria
18 Reactions
77 Replies
2K Views
Wana-JamiiForums, Machozi ya furaha yananilenga nikitafakari mapenzi makubwa ambayo Rais wetu mpendwa anayo kwa Watanzania, hadi baadhi ya wanasiasa wa upande wa pili sasa hivi wanakunywa chai...
1 Reactions
7 Replies
127 Views
Mwandishi mkongwe wa habari nchini Tanzania, Ansbert Ngurumo, amesema Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni ya kumchafua inayotoka hata ndani ya chama alichokijenga na kukiongoza...
2 Reactions
46 Replies
484 Views
What the helly JF massive? Naona kama vile tunarudi nyuma kitaifa. Hivi ni mimi tu au na nyie mnaona kama nionavyo mimi? Endapo kama taarifa zote za kuuhusu ufisadi wa serikali iliyopo ni za...
83 Reactions
202 Replies
8K Views
  • Redirect
Kocha mkuu wa Harambee Stars, Benni McCarthy, anaamini kuwa Kenya bado ina safari ndefu kabla ya kuweza kushindana kwa uhalisia na vigogo wa soka barani Afrika kuwania ubingwa wa AFCON. McCarthy...
0 Reactions
– Replies
– Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…