WARAKA WA MOYO KWA MAMA YETU; RAIS DOKTA SAMIA SULUHU HASSAN
(SEHEMU YA KWANZA)
Na: Alex Msama Mwita 🇹🇿
Julai 26, 2025
UTANGULIZI
Mama. Nakuita tena, mama. Leo nikiwa nyumbani kwetu Tarime...
Ninawaza mwenyewe tu. Ninatafakari peke yangu.
Kwamba huu ni ushauri wa nani? Na alitarajia matokeo gani? Kwamba watanzania wote WATAKAA kimya kwa woga?? Ni kama naona dalili ya wanaotishwa...
Na Dr Mutatis Mutandis
Nimefuatilia kiukaribu sana sakata hili linalomhusu ndugu Humphrey Polepole nilichoking'amua ni kuwa ndugu Polepole (wa leo) kwake CCM ndiye mzaliwa wa kwanza na Taifa ni...
Sheikh Ibrahim Kaniki amesema hakuna utengano kati ya dini na siasa, akisisitiza kuwa masuala ya kisiasa huathiri moja kwa moja maisha ya waumini wa dini, hivyo ni muhimu viongozi wa dini...
Kwa mara ya kwanza nilikidhi vigezo vya kupiga kura mwaka 2005, hata hivyo sikuwahi kupiga kura mpaka mwaka 2015 katika uchaguzi mkuu kulipovuma sana wimbi la mabadiliko, tangu wakati sijawahi...
Waziri Husein Bashe. Serikali imenunua ndege kwa ajili ya kunyunyizia viuatilifu mashambani kwa gharama ya shilingi bilioni 6. Hii ni sawa na zaidi ya USD 2.3 milioni bei ambayo ni mara tatu hadi...
Nimeambiwa kwa njia simu kuwa leo alikuwa kwenye msiba wa mzee mmoja hapo Chato. Hana jipya zaidi ya kujtambulisha kuwa baba yake alikuwa mpishi kwenye kianda cha kuchambua pamaba na kikafunguliwa...
Hongera sana Raisi na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema CCM itajitahidi kuingiza vijana wengi kuwania nafasi za...
Hivi ndio vililuwa vichwa vya habari kila kukicha kulipotokea tofauti CHADEMA, yaani cha kushagaza mpaka magezeti yakawa ya kishabiki maandazi, kuchochea makaa.
Sasa mpira umegeuka bana🤣🤣🤣...
Uchaguzi Mkuu 2025: Je, unajua takwimu hizi muhimu?
📍 Jumla ya wapiga kura — Zaidi ya 37.6 milioni!
📍 Idadi ya Wanawake ni kubwa kidogo vs Wanaume
📍 Vituo vya kupigia kura — Karibu 100,000...
Tanzania na Rwanda Zaimarisha Ushirikiano kwa Kusaini Hati Mbili za Makubaliano
Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri...
We fikiria bunge la Ulaya linajadili mustakabali wake kisiasa na kimaisha.
Bunge la senate la Usa linajadili musfakabali wake kisiasa na kimaisha.
Huyu mtu anakubalika dunia nzima na anawazidi...
Baada ya wajumbe kuwakata vigogo wengi na machawa wa mama
SSH kawaza kaona aje na mkakati wa kuwarudisha machawa wake kwenye nafasi ndo maana kaona abebe majina mengi ili kamati kuu iyapitie...
My Take
Huu ni ukweli mchungu najua mnajua ila mlokuwa mnatikisa kiberiti.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amelaani vikali kile...
Huu ndio Ukweli, Wajumbe waliokuwa wanaangalia sinema na hotuba ya Viongozi unawezaje kusema wameshiriki kikao hicho? labda tuambiwe maana ya neno "Kushiriki" nalo limekarabatiwa na kuwa na maana...
Ninapoangalia mwenendo wa sasa ndani ya chama chetu, nahisi kuna upungufu mkubwa wa viongozi wenye maono. Kiongozi sahihi anapaswa kuwa na "jicho la tatu" – yaani uwezo wa kuona changamoto kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.