MjukuWaBabu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 456
- 721
Sawa sawaSAMIAAAA
SAMIAAAA
SAMIAAAA
Ukibisha hamia Burundi in Mwigulu's voice.
Nchi ipo mikono salama ya Daktari SAMIA SULUHU HASSAN . Tumpe maua yake tafadhari 🌹🌹🌹🌹SAMIAAAA
SAMIAAAA
SAMIAAAA
Ukibisha hamia Burundi in Mwigulu's voice.
Nasemaje , uchaguzi umeisha... Tukakamilishe zoezi mwezi OCTOBER Mama arudi Chamwino kuwasogezea watanzania maendeleo wanayostairi.Ni Samia ni Samia ✅✅✅✅
Huo wimbo wa Sifa mtauimba wewe na mumeo Lucas MwashambwaSAMIAAAA
SAMIAAAA
SAMIAAAA
Ukibisha hamia Burundi in Mwigulu's voice.
jina pekee liimbwalo GIZANI!SAMIAAAA
SAMIAAAA
SAMIAAAA
Ukibisha hamia Burundi in Mwigulu's voice.
Oyaaa .... Washirikina na wavimba macho nawapa pole na hawatatoboa🤣🤣🤣🤣jina pekee liimbwalo GIZANI!
washei taa nyie WACHAWI
Chama kipo well settled na kila kitu kipo kwenye proper channel. Chama kilichoongoza ukombozi wa taifa na ndicho kilichobaki na chenye ushawishi Africa.Mna wakati mgumu sana wa kupambana na upinzani wa ndani ya chama. Maana kwa akili zenu duni, mlifikiri upinzani unafanywa na Chadema tu.
Kutoka timu ganiSAMIAAAA
SAMIAAAA
SAMIAAAA
Ukibisha hamia Burundi in Mwigulu's voice.
Kura yako ,sauti yako.SAWA Nita tick!
Kikosi kikubwa na tumewameza Hadi wapinzani. Kifupi chama dume na uwanja hautoshi. 💚💚💚💚💚Kutoka timu ganiView attachment 3419450
Kikosi kikubwa na tumewameza Hadi wapinzani. Kifupi chama dume na uwanja hautoshi. 💚💚💚💚💚
Kauli za wakosaji.... Haya ni mahaba kwa kiongozi mpenda na mtenda haki.Naona leo malipo yametoka mapema sana