Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF, Hapa kuna kipande cha habari zingine, zimepatikana kwa mdau mmoja hapa. Sina uhakika sana na habari hizi. Naomba senior JF members and experts angalieni ukweli wake. Ndugu JK, Watu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Heshima sana wanajamvi. Mkuu wa Arusha Mh Makobda aka Bashite na Mbunge wa sasa Arusha Mjini Mrisho Gambo wapo katika vita kubwa ya kuomba ridhaa ya chama ya kuwania ubunge wa Arusha Mjini...
9 Reactions
88 Replies
5K Views
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii inavuta mapato ya ajabu – zaidi ya USD 3.4 bilioni mwaka 2023 na karibu USD 4 bilioni mwaka 2024 – lakini ground reality ni aibu tupu. Angalia Mlima...
8 Reactions
13 Replies
715 Views
Ndugu zangu Watanzania, Inasikitisha sana ,inaumiza sana na inahuzunisha sana kuona ,kutazama mateso ya njaa wanayopitia Watoto wanaoishi eneo la Gaza. Watoto wanaangamia ,watoto wanateseka kwa...
1 Reactions
66 Replies
3K Views
Wasalaam. Inatafakarisha sana CCM imeongoza taifa la Tanganyika tangu uhuru lakini bado barabara ni mbovu, maji safi ni mtihani, wanafunzi bado wanakaa chini huko viongozi wa CCM wakitembelea ma...
4 Reactions
6 Replies
417 Views
Mbunge anayemaliza muda wake wa Jimbo la Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Aida Kenani, amedai kuzuiwa na Jeshi la Polisi kufanya mkutano wa ndani...
2 Reactions
2 Replies
451 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikushinda Jimbo la Segerea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa nguvu yake ya kisiasa, bali kwa sababu ya...
0 Reactions
2 Replies
544 Views
Salaam kwenu Wana GT. kwa haeshima ya kuwa GT, hebu tukwapue hili jukumu alilowapa Pasco TWAWEZA, tujadiri ni kwanini Wananchi wengi kiasi hicho wajiandikishe kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Rwanda ilifungia makanisa 8000 ambayo yalikuwa yanaendesha shughuli zake kihuni. Mungu wa mbinguni yupo, na nina imani uamuzi ule Mungu aliukubali kabla hata serikali haijautoa. Kanisa LA...
6 Reactions
91 Replies
3K Views
Balozi Polepole kaonyesha kivitendo maana halisi ya Demokrasia. Hakutaka kuwa mtu mnafiki, kucheka usoni lakini hukubaliani na yanayotokea hadharani kisiasa. Kaonyesha kuwa UCHAWA NI DHAMBI ya...
5 Reactions
15 Replies
834 Views
Majina yoyote tutakayoletewa na CCM kama wagombea wa Majimbo yanayonihusu Iringa mjini na Kawe nitayapokea kwa mikono miwili Tofauti na Kenya ambako Mbunge ni lazima awe msomi kwa mujibu wa...
2 Reactions
17 Replies
654 Views
TANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais...
4 Reactions
58 Replies
2K Views
Camanda wa mama atamani Rais Samia aiongoze dunia nzima,Yaani awe rais wa dunia ili dunia ipate maendeleo ya haraka kama ilivyopata Tanzania ktk kipindi chake cha uongozi
0 Reactions
4 Replies
419 Views
Baada ya Jaji Hamidu Mwanga kusikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi namba 8323/2025 ambayo imetoa zuio la muda kwa Chama cha Chadema kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Rai yangu kwa vyombo vyetu. Naomba vyombo vyetu vibadili utamaduni wa kuwakumbatia na kuwasikiliza wenye MAMLAKA tu na kuwaacha UKIWA Watanzania wengine wakinyanyaswa na kutaabishwa kwa kila...
4 Reactions
14 Replies
515 Views
Freeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Taifa anasema - Chadema Haijawahi kuwa na Kiongozi Dhaifu kama Lema.
7 Reactions
47 Replies
4K Views
Tangu nchi hii ipate uhuru, hakuna chama cha upinzani kilichowahi kushika hatamu, Je, hii ni kusema CCM ni bora sana? Je, CCM pekee inazalisha genes za wazalendo wa kweli? Kwamba CCM ndiyo chama...
2 Reactions
9 Replies
339 Views
Wanakosali waumini wa Gwajima kwa sasa kanisa la ABC Dar ni la Kahama limesajiliwa Kahama. Hilo ni la watu wa nchi jirani Zenye vurugu wamejaa kibao Kahama Na wanaendelea kuja Dar kutoka nchi...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Anaye Pambana na Samia, Apambane na Kivuli cha Magufuli – Ni Kama Walivyopambana na Magufuli Walivyokuwa Wanapambana na Nyerere Na Costantine V. Magavilla Katika kuendeleza mada ya janga la...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA WANAWAKE WENYE NGUVU AFRIKA Rais Samia apokea tuzo maalumu ya wanawake 100 wenye nguvu kutoka kwa Access Bank Group. Tuzo hiyo imewasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Back
Top Bottom