Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sheikh Ibrahim Kaniki amesema hakuna utengano kati ya dini na siasa, akisisitiza kuwa masuala ya kisiasa huathiri moja kwa moja maisha ya waumini wa dini, hivyo ni muhimu viongozi wa dini...
0 Reactions
4 Replies
305 Views
Wanagawa pesa kama njugu bila hata ya aibu. Wana uhakika gani kama majina yao yatarudi? Na hizi pesa wanazogawa wamezipata wapi? Kwa nini Takukuru haiwachukulii hatua?
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Amos Makalla katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) anazungumza na waandishi wa habari. https://www.youtube.com/live/HklC_qQvjgU?si=qzSVQt19PHc5ohRC Katibu wa...
2 Reactions
4 Replies
912 Views
Watu 4,109 watia nia kuomba ubunge kupitia CCM. Fomu moja Laki 5.Hivyo fomu zimeiingizia CCM shilingi 2,054,000,000 kupitia fomu walizochukua Tunawatakia kila la heri
0 Reactions
12 Replies
441 Views
https://www.youtube.com/live/1ItuJDYxY40?si=N0pVPil_hULmcM37 Wakuu, CCM wanafanya mkutano wao mkuu maalum leo na kesho (May 29-30) Dodoma, nadhani an wengine watafuatilia mahala walipo kwakuwa...
8 Reactions
71 Replies
6K Views
Katika wakati ambpo ukimya ilikuwa sahihi na wenye usalama, uliamua kuongea. Wakati wengine wakijificha nyuma ya nguvu za watawala, ulisimama nyuma ya wananchi. Ulikumbusha taifa namna uandishi...
2 Reactions
3 Replies
285 Views
CCM imetangaza kuitisha Mkutano Mkuu wa dharura siku ya jumamosi bila kuwekwa wazi agenda za mkutano huo. Hii ni kwa mara ya kwanza katika historia ya chama hicho hasa kwa mkutano mzito kama huo...
7 Reactions
53 Replies
3K Views
Japo wengi wanashabikia kwa kutofahamu, lakini kazi aliyoifanya Samia ni kubwa sana katika nyannja zote. Hata wapinzani wanaponda sana utawala wa Samia lakini katika waliopo CCM sasa hivi pengine...
6 Reactions
68 Replies
3K Views
Kwa kipimo chochote kitakachotumika, huyu ni mgombea haramu kwa mujibu wa katiba ya chama chake kwa sababu uteuzi wake ulifanywa na wahuni waliopangwa ndani ya chama. Huyu ni mgombea haramu kwa...
14 Reactions
58 Replies
3K Views
Kusema kwamba “ukristo unashambuliwa” au “Kanisa linalengwa” ni upotoshaji wa makusudi ambao sitaukalia kimya. Kusema waumini Milioni 3 na zaidi ya Makanisa 2,112 yamefungiwa nchi nzima sio kweli...
0 Reactions
8 Replies
436 Views
Husika na mada tajwa hapo juu: Viapo vinanguvu sana nadhani nguvu inatoka ule mstari wa mwisho unaoposema "Ee Mungu nisaidie" Tunamuona ndugu yetu polepole anahangaika na press huku akigeuka...
1 Reactions
18 Replies
910 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewasili jijini Kigali, Rwanda, kushiriki Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya...
1 Reactions
13 Replies
646 Views
Husika na mada tajwa hapo juu. Hayo makundi yote hapo juu. Kwa niaba yao nasema Asante Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 Umeyatendea haki makundi yote hapo juu na mengine ambayo sijayataja...
0 Reactions
2 Replies
223 Views
Naona Chaumma na baba yake wa Kufikia Familia zao Zinakulana Ndani kwa Ndani kama familia za Waarabu Kesho ndio 28 August,2025 Nawatakia Dominica njema 🙏
0 Reactions
8 Replies
466 Views
CCM, MSAJILI wa VYAMA vya SIASA; WANACHEKESHA. Kuna jitihada zinazoendelea kufunika dosari kubwa za kikatiba, kikanuni, na kisiasa katika mchakato wa kumteua mgombea Urais CCM mwaka 2025...
0 Reactions
3 Replies
543 Views
Dah .... Nilimpenda sana sana Magufuli... Huyu kanisababishia niwe mfuatiliaji wa Habari sana hapa Tanzania... Kila siku nilikuwa natamani kusikia kitu kipya... Siku Giza lililopomkuta...
6 Reactions
14 Replies
623 Views
Leo tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya Mkutano Mkuu wake wa Taifa kwa njia ya mtandao, kikihusisha takriban wajumbe 2,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Taarifa kutoka...
0 Reactions
5 Replies
581 Views
Tanzania inakaribia Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Joto la siasa limekuwa likipanda na kushuka, na majukwaa yanazidi kutafutwa, ikiwemo Nyumba za Ibada. Lakini je, hii ni sawa? Wanasiasa...
0 Reactions
2 Replies
368 Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini, wakiwemo wa CHADEMA, CCM, na ACT-Wazalendo, kuonesha ukomavu wa kisiasa kwa...
1 Reactions
1 Replies
347 Views
Back
Top Bottom